East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,209
Eric sio mnyarwanda. Ni mtanzania wa masasi.
Kawadanganye wengine sio jamiiforums
Eric sio mnyarwanda. Ni mtanzania wa masasi.
Tanzania imekanusha vikali tuhuma kwamba imekuwa ikiwaruhusu viongozi wa kundi la waasi la FDLR kufanya mikutano nchini humo.
Hapo jana kulikuwa na taarifa ambazo zilitangazwa na vyombo mbali mbali vya habari duniani kuhusu ripoti mpya ya kundi la wataalamu wa umoja mataifa kuhusu Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwamba iilituhumu Tanzania kwa kuwaruhusu viongozi wa kundi la waasi FDLR kuandaa mikutano nchini humo.
Katika ripoti hiyo pia wanajeshi wa Burundi wanatuhumiwa kuwa walitekeleza unyanyasaji wa kingono.
Chanzo: BBC
Kama wanaweza wakasema wana ushahidi, kwa nini wasiuweke ili tuuone badala ya kusikia maneno yao pekee.
By the way, hizi habari zinakuwa recycled kila baada ya muda ili kuipa pressure Tanzania ili ipambane na FDRL kama ishara ya kuonyesha haikisaidii kikundi hicho. Rwanda hawawezi kupambana na FDRL bila ridhaa ya Tanzania.
Tofauti ya Tanzania na Rwanda ni kuwa, Kagame amewekesha kwenye makampuni makubwa ya PR ili yamsaidie katika mission zake za ndani na nje ya nchi wakati Tanzania hata magazeti ya ndani yanapambana na serikali ya Tanzania. Kwa mtaji huo ndiyo maana Rwanda wanaweza hata kupenyeza habari zao kwenye media mbali mbali za kimataifa katika mlengo wa kutetea maslahi yao.
Eric ni Mnyarwanda, hebu jaribu kufuatilia utapata majibu.Eric sio mnyarwanda. Ni mtanzania wa masasi.
Mkuu,Kwa hiyo BBC na Reuters wanaweza kutumika na PR team ya Kagame ?
Halafu sijaona serikali ikitaka ushahidi au ikitaka kuombwa radhi na UN au BBC
[video=youtube_share;OWio7NVOnaI]http://youtu.be/OWio7NVOnaI[/video]
Hii ripoti ni ya tangu January na hao wataalam walishajibiwa. Hakuna ushahidi wowote zaidi ya passport ya Habimana na Western Union kutoka Dar kwenda Kampala kwa anayedaiwa ni make wa Habimana.Kwa hiyo BBC na Reuters wanaweza kutumika na PR team ya Kagame ?
Halafu sijaona serikali ikitaka ushahidi au ikitaka kuombwa radhi na UN au BBC