Tanzania yakanusha habari za uongo na uzushi ambazo ziliandikwai na gazeti la Serikali ya Rwanda

kilambalambila

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
9,290
8,611
Report ya ubalozi wa tanzania nchini rwanda umekanusha taarifa kuwa viongozi wa waasi rwanda walikaribishwa nchini na rais Kikwete. Report hiyo imesisitiza kuwa hakuna kumbukumbu zozote katka idara ya uhamiaji ambazo zinaonyesha kuwa viongozi hao wa waasi wamewahi kuingia Tanzania

Aidha katika report hiyo raisi kikwete amelitaka gazeti la rwanda lililochapisha habari hizo kuacha kuchapisha habari za uongo ambazo zinaweza kupelekea kuvuruga uhusiano kati ya nchi hizo mbili.

Kufuatia habari hiyo, Serikali ya Tanzania imemuandikia barua mhariri wa gazeti la News of Rwanda kumtaka aombe radhi pamoja na kuacha kuandika habari za uvumi ambazo kwa sehemu kubwa zimemuhusu rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete.

-------------------------------------

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ubalozi wa Tanzania katika Rwanda usiku wa jana, Jumatano, Januari 29, 2014 ulitoa taarifa kwa vyombo vya habari ikikanusha habari za uongo na uzushi ambazo ziliandikwa mwishoni mwa wiki na gazeti la Serikali ya Rwanda la News of Rwanda.
Ifuatayo ni taarifa kamili iliyotolewa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mheshimiwa Francis Mwaipaja:

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.

30 Januari, 2014​

------------------------------------------------------------------
Habari ya kizushi iliyokuwa imetolewa na gazeti la News of Rwanda
------------------------------------------------------------------

STATEMENT ON CLAIMS BY THE NEWS OF RWANDA

The Embassy of Tanzania in Rwanda is deeply saddened by malicious and untrue reports, published over the weekend by the Rwanda Government Owned Newspaper, The News of Rwanda, in which it accuses the President of the United Republic of Tanzania, HE Jakaya Mrisho Kikwete, of supporting and holding meetings with members of rebel groups opposed to the Government in Kigali.

Indeed, these reports are nothing but a bunch of dangerous lies fabricated by editors of this publication with obvious malicious intent to attack the person of the President of a friendly neighbouring country and create an impression that

Tanzania is working with enemies and groups opposed to the Government of Rwanda.

The News of Rwanda, which has gained uneviable notoriety of reporting and publishing malicious, dangerous and perpetual propaganda, quoting unnamed sources claims, among other things, that two founding members of the Rwanda National Congress (RNC) including Dr. Theogene Rudasingwa met secretly in Dar es Salaam with top commanders of the Democratic Forces for Liberation of Rwanda (FDLR).

Given the enormity and dangerous nature of these reports, the Embassy of Tanzania in Rwanda would like to make the following clarification:

  1. That the so called founding members of Rwanda National Congress, Dr. Rudasingwa and adviser Condo Gervais together with top commanders of FDLR, namely Lt. Col Wilson Irategeka and Col Hamadi were not in Tanzania last week. Indeed, our records do not show that they have visited Tanzania in the recent years.
  2. That, there was no meeting of any kind at any official residences of President Kikwete, either in Dar es Salaam or in Dodoma or anywhere. Indeed, President Kikwete has never met any of those people mentioned anywhere – in Tanzania or outside. Moreover, on the day that News of Rwanda claims that the meeting took place, Thursday 23rd, this month, the President was not even in the country – he was in Davos attending the meeting of the World Economic Forum (WEF).
  3. That, the former Prime Minister of Rwanda Faustin Twagiramungu was also not in Tanzania on any or the same mission and did not attend the meeting with representatives of RNC and FDLR as no meeting of such nature took place in Dar es Salaam or anywhere in Tanzania as alleged by this paper. The Immigration Department in Tanzania does not have a record of such people entering or exiting the country.
  4. That, The Tanzania Immigration Department has never issued any travel document to any Rwandan citizen including those claimed in the News of Rwanda that they travelled to Mozambique using Tanzanian passports on or around December 20th2013. It is not the business of Tanzania to issue travel documents to citizens of other countries.
  5. That it is also untrue that the so-called, "insider establishment" in Tanzania is providing the base for organization and facilitation for travel for FDLR fighters. It is open secret that there is no presence of even a single FDLR fighter in Tanzania. The News of Rwanda should know better where these fighters are based and operate from.

As mentioned earlier, this report and other similar reports published in recent weeks by the News of Rwanda are not only untrue, baseless and mere fabrication but also dangerous and threatening to the excellent and sound diplomatic and social relations between our two neighbouring countries, both of which are members of the East African Community (EAC).
President Kikwete is deeply hurt by these lies and his humble advice to the editors of this publication is to stop fabricating untrue claims which potentially could create and fuel animosity and confusion among the people of our two neighbouring and friendly countries. At a time when President Kikwete and President Paul Kagame of Rwanda had agreed in Kampala to foster friendly relations, such newspaper claims can only sour the atmosphere and President Kikwete would like to know what the editors of the publication are up to?

The Embassy of Tanzania in Rwanda does not take lightly these allegations by the News of Rwanda given the position that this publication occupies in Rwanda.

Source: Statement by Rwanda Embassy in Tanzania on malicious articles published by the Government owned newspaper,-The News of Rwanda - wavuti.com
 
Isn't it strange? Kwamba Kurugenzi ya habari Ikulu inanukuu taarifa iliyotolewa na ubalozi wa Tanzania Rwanda kuhusu mkutano uliofanyika chini ya mkuu wa Ikulu yetu? Twagiramungu ameshanukuliwa Ufaransa akisema alikutana na Kikwete na kutoa tarehe alizokuwa Tanzania. Mbona yeye hajakanusha kuwa hakusema hivyo?
 
Report ya ubalozi wa tanzania nchini rwanda umekanusha taarifa kuwa viongozi wa waasi rwanda walikaribishwa nchini na rais kikwete

Report hiyo imesisitiza kuwa hakuna kumbukumbu zozote katka idara ya uhamiaji ambazo zinaonyesha kuwa viongozi hao wa waasi wamewahi kuingia Tanzania

Aidha katika report hiyo raisi kikwete amelitaka gazeti la rwanda lililochapisha habari hizo kuacha kuchapisha habari za uongo ambazo zinaweza kupelekea kuvuruga uhusiano kati ya nchi hizo mbili

Yaani Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda unajenga hoja serious based on immigration records.Kwani kama kuna special Mission kama Twagiramungu alivyokiri akiwa Jijini Lyon,Ufaransa juzi?

Hizo sababu ni nyepesi.Pamoja na kuwa siungi mkono utawala wa Kigali,lakini Ikulu au msemaji wa serikali alitakiwa atoke hadharani na kuweka jambo hili sawa

Hizi ni serious allegations,sio za kubeza.
 
Jasusi uchwara ni lazima uwe na akili ya kujiongeza juu ya propaganda hiyo. Kumbuka kwa mazingira ya Tanzania propaganda imemtaja moja kwa moja rais lakini kwa ufaransa jamaa wameogopa kumhusisha mtu yeyote wa Ufaransa isipokuwa kulihusisha tu eneo la nchi ili kukwepa diplomatic conflicts with France!. Kalagabaho we mjinga ili uliwe vizuri.
 
Lakini kwa nini watu wetu wanaohusika na maswala kama haya, ambayo ni mazito sana, wamechukua muda mrefu sana kujibu??? Mbona kwenye hii forum hizi habari zimekuwepo kwa muda mrefu??? Mbona majibu yanakuwa mepesimepesi kwa jambo kubwa kama hili??? Wanaohusika na kujibu ndiyo tuseme walikuwa likizo au vipi??? Kwa nini watu wasiwe wanakuwa ''serious'' na ofisi zao na kufanya mabo yanayoeleweka???Ndio tuseme hili gazeti walishindwa kulipata mara moja (asubuhi hiyo lilipotoka)??? Je lilisuiri lori la mizigo linalorudi toka huko lilete ndio wahusika wasome habari zenyewe???? Kwa nini watu wazima wanawaaibisha umati wote wa Watanzania??? Eeeehhh Mola tusaidie!!!!!!
 
Kisamo pole sana mkuu I decided to fit in ur shoes and I can feel the music ur dancing ..!!!
 
Last edited by a moderator:
Isn't it strange? Kwamba Kurugenzi ya habari Ikulu inanukuu taarifa iliyotolewa na ubalozi wa Tanzania Rwanda kuhusu mkutano uliofanyika chini ya mkuu wa Ikulu yetu? Twagiramungu ameshanukuliwa Ufaransa akisema alikutana na Kikwete na kutoa tarehe alizokuwa Tanzania. Mbona yeye hajakanusha kuwa hakusema hivyo?

Jasusi aka intelligence officer nisaidie ndugu yangu huyo Twagiramungu ni NANI?
 
Last edited by a moderator:
Labda mawani yangu ina matatizo. Serikali ya Tanzania inamuandikia mhariri wa gazeti la Rwanda? Kwanini wasitoe malalamiko yao kupitia ubalozi wa Rwanda Tanzania? Diplomasia ya wapi hii?
 
Lakini kwa nini watu wetu wanaohusika na maswala kama haya, ambayo ni mazito sana, wamechukua muda mrefu sana kujibu??? Mbona kwenye hii forum hizi habari zimekuwepo kwa muda mrefu??? Mbona majibu yanakuwa mepesimepesi kwa jambo kubwa kama hili??? Wanaohusika na kujibu ndiyo tuseme walikuwa likizo au vipi??? Kwa nini watu wasiwe wanakuwa ''serious'' na ofisi zao na kufanya mabo yanayoeleweka???Ndio tuseme hili gazeti walishindwa kulipata mara moja (asubuhi hiyo lilipotoka)??? Je lilisuiri lori la mizigo linalorudi toka huko lilete ndio wahusika wasome habari zenyewe???? Kwa nini watu wazima wanawaaibisha umati wote wa Watanzania??? Eeeehhh Mola tusaidie!!!!!!
Siyo Kila kitu kukimbilia kujibu hasa kutoka kwa bunch of idio.ts. Unasubili kwanza mapovu yawatoke halafu ndo unawajibu, tena mtu anayewajibu anatakiwa awe mtu mwenye cheo kidogo sana serikalini kama afisa habari grade two wa wizara ya mambo ya nje au afrika mashariki anawatosha sana.
 
Wee una tatizo na nimiongoni mwa wachochezi.
 
jk anataka kuondoka madarakan akiwa amearibu uhusiano na rwanda na tz kabisa kama waasi wenyewe wamekiri kuwa tz ikulu inasemaje
 
Tatizo watu tunajadili habari ya gazeti la nje ya nchi na katika habari hiyo, tunataka serikali ya Tanzania itumie njia za kidiplomasia kukanusha!.

Njia za kidiplomasia zinatumika pale nchi moja inapoweka official complain yake kupitia ama kwenye balozi ya nchi inayolalamikiwa, nchi washirika katika shirikisho au UN.

Yaani serikali iwe inajibu officially kila kile kinaandikwa na magazeti?. Hii itakuwa ni serikali ya aina gani hasa ikichuliwa kuwa mtandao wa channel za vyombo vya habari duniani kwa sasa ni mkubwa and very complicated. Kwa sasa kuna hata citizen journalism ambayo inashika kasi katika hii digital age.

Kama sauti ya malalamiko ingetoka ikulu ya Kigali, basi kungetakiwa kujibiwa kwa channel za kidiplomasia.

Serikali itajibu vingapi vinavyoandikwa na media hasa za nje?.
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Ubalozi wa Tanzania katika Rwanda usiku wa jana, Jumatano, Januari 29, 2014 ulitoa taarifa kwa vyombo vya habari ikikanusha habari za uongo na uzushi ambazo ziliandikwa mwishoni mwa wiki na gazeti la Serikali ya Rwanda la News of Rwanda.
Ifuatayo ni taarifa kamili iliyotolewa na Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Mheshimiwa Francis Mwaipaja:

Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.

30 Januari, 2014​

STATEMENT ON CLAIMS BY THE NEWS OF RWANDA

The Embassy of Tanzania in Rwanda is deeply saddened by malicious and untrue reports, published over the weekend by the Rwanda Government Owned Newspaper, The News of Rwanda, in which it accuses the President of the United Republic of Tanzania, HE Jakaya Mrisho Kikwete, of supporting and holding meetings with members of rebel groups opposed to the Government in Kigali.

Indeed, these reports are nothing but a bunch of dangerous lies fabricated by editors of this publication with obvious malicious intent to attack the person of the President of a friendly neighbouring country and create an impression that

Tanzania is working with enemies and groups opposed to the Government of Rwanda.

The News of Rwanda, which has gained uneviable notoriety of reporting and publishing malicious, dangerous and perpetual propaganda, quoting unnamed sources claims, among other things, that two founding members of the Rwanda National Congress (RNC) including Dr. Theogene Rudasingwa met secretly in Dar es Salaam with top commanders of the Democratic Forces for Liberation of Rwanda (FDLR).

Given the enormity and dangerous nature of these reports, the Embassy of Tanzania in Rwanda would like to make the following clarification:

  1. That the so called founding members of Rwanda National Congress, Dr. Rudasingwa and adviser Condo Gervais together with top commanders of FDLR, namely Lt. Col Wilson Irategeka and Col Hamadi were not in Tanzania last week. Indeed, our records do not show that they have visited Tanzania in the recent years.
  2. That, there was no meeting of any kind at any official residences of President Kikwete, either in Dar es Salaam or in Dodoma or anywhere. Indeed, President Kikwete has never met any of those people mentioned anywhere – in Tanzania or outside. Moreover, on the day that News of Rwanda claims that the meeting took place, Thursday 23rd, this month, the President was not even in the country – he was in Davos attending the meeting of the World Economic Forum (WEF).
  3. That, the former Prime Minister of Rwanda Faustin Twagiramungu was also not in Tanzania on any or the same mission and did not attend the meeting with representatives of RNC and FDLR as no meeting of such nature took place in Dar es Salaam or anywhere in Tanzania as alleged by this paper. The Immigration Department in Tanzania does not have a record of such people entering or exiting the country.
  4. That, The Tanzania Immigration Department has never issued any travel document to any Rwandan citizen including those claimed in the News of Rwanda that they travelled to Mozambique using Tanzanian passports on or around December 20th2013. It is not the business of Tanzania to issue travel documents to citizens of other countries.
  5. That it is also untrue that the so-called, “insider establishment” in Tanzania is providing the base for organization and facilitation for travel for FDLR fighters. It is open secret that there is no presence of even a single FDLR fighter in Tanzania. The News of Rwanda should know better where these fighters are based and operate from.

As mentioned earlier, this report and other similar reports published in recent weeks by the News of Rwanda are not only untrue, baseless and mere fabrication but also dangerous and threatening to the excellent and sound diplomatic and social relations between our two neighbouring countries, both of which are members of the East African Community (EAC).
President Kikwete is deeply hurt by these lies and his humble advice to the editors of this publication is to stop fabricating untrue claims which potentially could create and fuel animosity and confusion among the people of our two neighbouring and friendly countries. At a time when President Kikwete and President Paul Kagame of Rwanda had agreed in Kampala to foster friendly relations, such newspaper claims can only sour the atmosphere and President Kikwete would like to know what the editors of the publication are up to?

The Embassy of Tanzania in Rwanda does not take lightly these allegations by the News of Rwanda given the position that this publication occupies in Rwanda.

Source: Statement by Rwanda Embassy in Tanzania on malicious articles published by the Government owned newspaper,-The News of Rwanda - wavuti.com
 
Mentality na the so called Great Thinkers wa JF ni watu wa ajabu sana.

Forum hii inatakiwa iwe ya ku question serikali na kuuliza maswali magumu lakini ndio hivyo...yhe dumbing down of JF kila kukicha.
 
Yaani Ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda unajenga hoja serious based on immigration records.Kwani kama kuna special Mission kama Twagiramungu alivyokiri akiwa Jijini Lyon,Ufaransa juzi?

Hizo sababu ni nyepesi.Pamoja na kuwa siungi mkono utawala wa Kigali,lakini Ikulu au msemaji wa serikali alitakiwa atoke hadharani na kuweka jambo hili sawa

Hizi ni serious allegations,sio za kubeza.

Ikulu imeshasema kwamba hata hiyo tarehe 23/01 inayosemwa na Wanyarwanda kuwa alionana na Twagiramungu Rais hakuwepo alikua Davos Uswisi sasa sijui alikutana na kivuli chake?
 
Ningekuwa mie ningewajibu ni kweli walikuja kuomba asylum maana wanasema baridi la ufaransa limewachosha. Kwani tunamkata wakimbizi wa nchi fulani wasiingie kwangu?
 
Ikulu imeshasema kwamba hata hiyo tarehe 23/01 inayosemwa na Wanyarwanda kuwa alionana na Twagiramungu Rais hakuwepo alikua Davos Uswisi sasa sijui alikutana na kivuli chake?

simwamini kikwete,yeye na mwanae ni mabingwa wa alibi,riz1 aliambiwa alionekana mwanza yeye akajibu siku hiyo nilikuwa afrika kusini!
 
HARDLY MATTERS!!!.......we dont gv a single sec to even think of Rwanda.... until ur dictator is out of power
 
Nafikiri si rahisi serikali yoyote kukubali kusaidia uasi nchi nyingine.
Walichoandika News of Rwanda ni kuwa ex-PM alisema ametoka Tanzania lakini hakusema kuwa amekutana na JK. Inawezekana kuwa alikuja bila kutoa taarifa serikalini na kukutana na watu wanaomuunga mkono wanaoishi kwa wingi Tanzania ambao tumekuwa tukuwataja na wengine wapo kwenye forum hii.
Kilicho muhimu ni kwa serikali yetu kufanya uchunguzi wa kina na kuondoa huu mkanganyiko. Sikutegemea serikali kunukuu barua ya ubalozi kama vile ubalozi uko juu ya Ikulu.
 
Back
Top Bottom