Tetesi: Tanzania yajitoa rasmi Mahakama ya Afrika. Sasa hakuna haki itakayotafutwa katika mahakama hiyo

Ni Sawa tu, maana mpaka leo zipo nchi za Africa ambazo hazimo katika mahakama hii ya Ki Africa!
 
Tunaogopa Nini, Je faida na hasara ya Kujitoa ... Nadhani Kuna vitu Havipo sawa Hapa Bongo...Tumeamua Kuchukua Mkondo wa Kivyetu ili Tuendelee Kunyooshwa bila Kuingiliwa... Tutanyooka kama Mnyooo soon...
 
Makao makuu ya hii Mahakama ipo Arusha.

Nitashangaa sana wakiendelea kubaki kwenye nchi isiyoitambua
 
Katika hizi mahakama za kikanda Marekani huwakuti na ndio wanaosemekana ma baba wa kidemokrasia.
 
Back
Top Bottom