Tanzania yaingia kwenye top 10 Tajiri

jiwekuu770

JF-Expert Member
Feb 12, 2015
2,247
1,635
Pamoja kua Tanzania ni nchi yenye maliasili na malighafi nyingi akini bado imekua ni nchi masikini huku ikijikongoja na ukosefu wa nishati ya kutosha, miundo mbinu bora, ajira, huduma chini za jamii kama afya na maji!!...

Game changer!!
Kuingia kwa rais magufuli ,rais aliyefanya mabadiliko makubwa kwenye miundo mbinu,ukusanyaji wa mapato, kudhibiti ufisadi na kuanzisha tanzania ya viwanda, kumeanza taratibu kuipa nuru nchi hiii yenye utajir wa maliasi!!.. Mwaka 2018 pekee tanzania imetajwa kua ni miongoni mwa nchi 10 zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi africa!! Ikishika nafasi ya 9
Top 10 ya nchi zenye kukua kwa kasi ya uchumi AFRICA

10.Tanzania
09.Ghana
08.Ethiopia
07.Angola
06.Kenya
05.Algeria
04.Moroco
03.Egypt
02.South Africa
01.Nigeria

Screenshot_2019-10-10-00-39-17-30.jpeg
Screenshot_2019-10-10-00-39-02-22.jpeg
Screenshot_2019-10-10-00-38-40-23.jpeg
Screenshot_2019-10-10-00-38-08-89.jpeg
 
Pamoja kua Tanzania ni nchi yenye maliasili na malighafi nyingi akini bado imekua ni nchi masikini huku ikijikongoja na ukosefu wa nishati ya kutosha, miundo mbinu bora, ajira, huduma chini za jamii kama afya na maji!!...

Game changer!!
Kuingia kwa rais magufuli ,rais aliyefanya mabadiliko makubwa kwenye miundo mbinu,ukusanyaji wa mapato, kudhibiti ufisadi na kuanzisha tanzania ya viwanda, kumeanza taratibu kuipa nuru nchi hiii yenye utajir wa maliasi!!.. Mwaka 2018 pekee tanzania imetajwa kua ni miongoni mwa nchi 10 zenye uchumi unaokua kwa kasi zaidi africa!! Ikishika nafasi ya 9
Top 10 ya nchi zenye kukua kwa kasi ya uchumi AFRICA

1.NIGERIA
View attachment 1229019View attachment 1229020View attachment 1229021View attachment 1229022
Acha kufananisha utajiri na mambo ya hovyo hovyo. Labda utajiri wa kisiasa!
 
Kweli mkuu mtoa hoja hii umefanya kautafiti kadogo hata hapo kijijini kwako ulipozaliwa na kuona kuwa wanakijiji wako hali zao za maisha zimekuwa bora?yaani hizi social services zimeboreshwa chini ya awamu hii?au ndio upo kundi letu la middle class tunaojifanya hatuyaoni yanayotokea on the ground maadam tumo in our ivory towels,kwenye AC,LIFT,UMEME,etc etc tunaona nchi inaendelea?safari mkuu ndani ya nchi yako,fika kwetu huku LINGUSENGUSE,ujionee then ndio uje na uzi kama huu.
 
Kwaiyo kutoendelea kwa kijiji chenu ndo tuseme tanzania haijaendelea!!?

Maendeleo yanapimwa kwa kitu kinaitwa GDP mkuu, kuongezeka kwa GDP ndo kipimo cha maendeleo...
Kwa hoja yako bas tusubir vijiji vyote viwe kama dar ndo tuje tuseme tumeendelea!!...
 
The 2019 estimates are as follows:
GDP (Nominal) of Africa 2019
Nigeria (18.13%)
South Africa (15.13%)
Egypt (12.21%)
Algeria (7.49%)
Morocco (4.94%)
Kenya (4.04%)
Angola (3.76%)
Ethiopia (3.71%)
Ghana (2.78%)
Tanzania (2.78%)
Other Countries (27.81%)
2019 RankCountryNominal GDP
($ billions)
Nominal GDP
per capita
(US$)
Notes
1​
444.9162,233.45
2​
371.2986,331.46
3​
299.5893,019.72
4​
183.6874,229.78
5​
121.353,409.95
6​
99.2462,010.51
7​
92.1913,060.02
8​
90.968951.10
9​
68.2582,262.57
10​
61.0321,172.18
11​
48.458495
 
Acha ushamba we dogo . Hiyo DAR yenyewe kichefuchefu . We Dar ndo unaona mahala pa kujivunia . Tanzania ni Taifa masikini sana bado acheni kujidanganya na tafiti uchwara .
Kwaiyo kutoendelea kwa kijiji chenu ndo tuseme tanzania haijaendelea!!?

Maendeleo yanapimwa kwa kitu kinaitwa GDP mkuu, kuongezeka kwa GDP ndo kipimo cha maendeleo...
Kwa hoja yako bas tusubir vijiji vyote viwe kama dar ndo tuje tuseme tumeendelea!!...
 
MB ZIMEISHA
NI AIBU kufananisha Nchi yetu na majirani
hivi unapima hizo GDP kutoka namba ngapi tuliyokuwepo kuja hiyo 10>
mgonjwa wa Wodini unajipina na wanaokimbia barabrani
sasa pimisha hii ya Binadamu mmoja mmoja katika Afrika na Duniani
tupo chini kabisa

Low human development

16
142 Kenya0.590 0.005
17143 São Tomé and Príncipe0.589 0.005
18144 Eswatini (Swaziland)0.588 0.002
18144 Zambia0.588 0.002
20147 Angola0.581 0.004
21151 Cameroon0.556 0.003
22154 Tanzania0.538 0.005
23156 Zimbabwe0.535 0.003
24157 Nigeria0.532 0.002
25158 Rwanda0.524 0.004
26159 Lesotho0.520 0.004
26159 Mauritania0.520 0.004

tunashindwa na kaNchi km Shelisheli na Link hizo hapo uptodate https://en.m.wikipedia.org/wiki/List_of_African_countries_by_Human_Development_Index
High human development
Africa RankGlobal RankCountryHDI valueChange in HDI value 2016–2017
List of African countries by Human Development Index
162 Seychelles0.797 0.004
265 Mauritius0.790 0.002
 
Samahani mkuu, ebu we niambie sehem ambayo imeendelea katka tanzania nyingine unayoijua!?
Katika ngazi ya nchi "within nchi"
Maana katka kila level kuna standard... From global-continental-regional-country wise -to vilage
Acha ushamba we dogo . Hiyo DAR yenyewe kichefuchefu . We Dar ndo unaona mahala pa kujivunia . Tanzania ni Taifa masikini sana bado acheni kujidanganya na tafiti uchwara .
 
Kwaiyo kutoendelea kwa kijiji chenu ndo tuseme tanzania haijaendelea!!?

Maendeleo yanapimwa kwa kitu kinaitwa GDP mkuu, kuongezeka kwa GDP ndo kipimo cha maendeleo...
Kwa hoja yako bas tusubir vijiji vyote viwe kama dar ndo tuje tuseme tumeendelea!!...
hoja inajibiwa na hoja iliyobora,and always try to read to understand,sikuongelea kuwa kijiji change kikiendelea ndio kipimo cha maendeleo ya nchi,na hiyo GDP(GROSS DOMESTIC PRODUCT) uliyoiongelea unaiona wewe mwenye uhakika wa maisha,na elewa sio kweli kuwa uchumi wetu unakua kwa kiwango kinachoweza kumudu uongezeko wetu wa watu,uchumi unakuwa kwa 4 to 5% na wananchi tunaongezeka 1.5 to 2% na bado unampata rais anayesema ninyi mzaliane tu serikali itatunza watoto wenu!!!na GDP sio kigezo pekee kinachopima maendeleo ya nchi,hali halisi on the ground ndio unaweza kuona kama nchi inasogea upande upi.
 
Back
Top Bottom