Tanzania yagundua gesi zaidi

erfan

Member
Nov 20, 2011
70
17
The drilling of the Jodari-1 offshore Tanzania on Block 1 has resulted in another discovery for partners BG and Ophir Energy. The well marks the fourth consecutive discovery for the pair. The well was spud in early January in 1,153 meters of water and was drilled by the drillship DeepSeaMetro 1 to a total depth of 4,465 meters subsea.

The Jodari-1was designed as a play-finder well to test slope-channel targets of Miocene, Lower Tertiary and Upper Cretaceous age. Log analysis shows that the well intersected the edge of a Miocene accumulation and two intervals of Lower Tertiary age, with 113 meters and 11 meters of gross pay respectively and high quality reservoirs. The Upper Cretaceous encountered formation gas but was not considered pay at this location.

Preliminary evaluation of the well results indicates gross recoverable resources are in the range of 2.5 to 4.4 Tcf of gas.

The Metro-1 drillship will now return to Mzia-1(where the top hole section was drilled in early January prior to commencing Jodari-1) in order to complete the bottom portion of the well. The Mzia-1 well is estimated to take 75 days to drill and is targeting a 4.6 Tcf Upper Cretaceous prospect with a different seismic anomaly to that calibrated by the Jodari-1 well.

Nick Cooper, CEO of Ophir Energy said: “The result from Jodari-1, at 3.4 Tcf recoverable, has materially exceeded pre-drill estimates and represents the largest discovery in Ophir's history. The 2012 Ophir-BG drilling program in Tanzania has two objectives: firstly to test deeper intervals below the Miocene and secondly to accumulate sufficient resources to promptly confirm a two train LNG development.

“These excellent Jodari-1 results are important for the future development of Tanzanian offshore industry and for the Ophir-BG partnership since they achieve both of these objectives by de-risking the previously untested deeper Lower Tertiary levels and also taking a major step closer to the second LNG train.

“This is a very strong start to our five-well 2012 Tanzania drilling campaign and the Metro-1 drillship will now move to drill Mzia-1, which is targeting mean recoverable resources of 4.6 TCF.”

Source: PetroleumAfrica
http://www.petroleumafrica.com/en/newsarticle.php?NewsID=13261
 
Tumeshazizoea izi news sasa twataka atakayeanza kusema ameanza kuchimba mafuta maana najua yapo.
Hatuko ktk suala la kugundua bali kuchimba!
 
Gas ipo nyingi lakini tunategema mgao wa umeme muda wowote.......Taifa la vichaa
 
Tumeshazizoea izi news sasa twataka atakayeanza kusema ameanza kuchimba mafuta maana najua yapo.
Hatuko ktk suala la kugundua bali kuchimba!

Ndugu yangu, ugunduzi wa gesi ni matokeo tu ya uchimbaji wa mafuta. Visima vyote vya gesi lengo kuu lilikuwa gesi. Kwa hiyo hakuna mtu anaacha kuchimba mafuta na kuchimba gesi. Nadhani umepata kitu hapo.
 
Kwakweli hii nchi yetu inatia kichefuchefu....
Kwa kipindi hichi Mungu angetupiga laana tusigundue rasilimali zaidi maana ni upu.uzi juu ya upu.uzi na blah bla kibao....
 
Swala la gesi aaah tunaambiwa ila yale mafuta yanayochimbwa na kubebwa na meli za kimarekani pwani ya mtwara hawatuambii, watu wanajua kuwa wese linaliwa na mmarekani, ukienda mtwara utazipata hizo, ukiongea na viongozi wanakuambia ni meli za utafiti ila ki ukweli mzigo unavunwa.Pumbafuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mi naomba tusigundue kitu kwa sasa, maana vyote vinavyogundulika vinatumika kuvimbisha ma'parabola ya watu na wakwe zao!
 
Hakuna jipya hapo, hizo resources ndo zinatufanya tuuwawe.
Imekuwa laana badala ya baraka!
 
Wacha kutoa habari za kupatikana gasi. Tujulishe itatusaidia nini. Gas imegunduliwa hapa TZ na AGIP tokea 1980.

Unless kama unawajulisha wale watakao chukuwa nafasi hii ili wajinufaishe zaidi. After all wao wanajuwa kabla hijatangazwa.
 
Nikukosoe mkuu,wazungu ndo wanagundua gesi nchini Tanzania na kuchukua makwao ulaya na si Tanzania yenyewe...nafikiri tukiiweka hivi itakuwa imekaa byeee sana,siamini kama Tanzania imewahi kugundua gesi
 
Back
Top Bottom