Tanzania ya Viwanda!

Tusumbuke kupoteza pesa wakati vyerehani 4 vinatosha.

Pesa tunahonga madiwani na wabunge wa upinzani waunge mkono juhudi za kuhonga kwa Mh Mtukufu
 
Tusumbuke kupoteza pesa wakati vyerehani 4 vinatosha.

Pesa tunahonga madiwani na wabunge wa upinzani waunge mkono juhudi za kuhonga kwa Mh Mtukufu
Hahaha udiwani dili, wanahongwa pesa ya kujenga viwanda?! Kwanini nami nisiwe diwani wa DP?!
 
Hahaha hivyo vya maji ya kandoro mbona vilikuwepo?!
Vimeongezeja! Pia ukiingia pale mitumbani kuna vyerehani vingi sana kwa ajili ya kufanya maboresho ya nguo za mitumba!
 
naaam mlituahidi nyingi ahadi . nakumbuka kadhaa kubwa ni ile ya mikopo kwa wanafunzi wa vyuo. mlisema kwanza ni mkopo kwanini watu wasipewe?
mlisema mngetoa 50ml kwa kila kijiji mmetoa? kwann?
wapi ilipo mahakama ya mafisadi? nani kapelekwa mpaka leo?
Ipo wapi Tanzania ya viwanda? vimejengwa vingapi? vinazalisha bidhaa gani wapi na zinauzwa wapi?
 
Taifa linaongozwa kishamba nawashamba
Uongo mwingii, eti vyerehani-4 kiwanda!
 
Tanzania ya Viwanda sio ndoto ya siku 2. Hata hivyo jitihadi zinazoendelea zinaonesha tutafika
 

Kaa hapohapo tunakuja.
Nissan nyeupe inakuhusu.
 
Tz ya viwanda????
Utaona wanasema mkoa wa pwani pekee una viwanda elfu tatu Na ushehe!
Ukiwaambia wataje majina tuvione wanakuwa wakali kama mbogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…