Tanzania ya viwanda.

Tanzania ya viwanda.

Madihani

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
6,326
Reaction score
7,522
7de19f3b22970ccc88f92f060fa59994.jpg
 
Mi Nasubiri jinsi matumaini ya watu yatakavyoyeyuka km samli miaka inayokuja.
 
Sasa wewe Lupyee kwani hapo Chadema inahusika vp? Na kama ni majizi si myapeleke mahakamani!!!
 
Sasa wewe Lupyee kwani hapo Chadema inahusika vp? Na kama ni majizi si myapeleke mahakamani!!!
Huyu Lupyee ni Numbskull kabisa.
Yaani big dunce ndiomaana kuna post nilimtukana lakini aligonga like,hebu jiulize.
 
Eti mtoto kama huyu
Anasubili apewe elimu ya magufuli( ya bwerereee)
Elimu isiyo na kiwango
Kama sio kuendelea kua masikini nin kinafuatia
 
Na ndio wameambiwa wazaane kwa wingi kwakuwa elimu watapewa bure, wakashangilia badala ya kuhoji vipi malazi na mavazi, huduma za afya, miundombinu, kilimo na mengineyo. Wanavijiji ni mtaji mkubwa sana wa chama chetu maana kimewakaa moyoni kama dini hata waitwe vilaza watatafsiri tofauti, wacha waugulie kimyakimya masna wameichagua wenyewe.
 
Mkemee huyo mtoto maana uzeeni atakula nyama za binadamu.
Huna watoto na hutarajii kupata watoto au unamaisha flani yanakuaminisha kuwa safari yako ni safi milele? Ungeweza tu kutoa mchango tofauti kuielimisha jamii huenda kupitia mchango wako lolote lingeweza kutokea kuwa heri kwa mtoto na familia yake.
 
Unaukwepa ukweli au unatafuta huruma ya jamii kupitia picha ya mtoto. Taarifa :Nina watoto chekwa na uzuri wote hawana ushabiki nyau wa lijichama nyang'au.
 
Back
Top Bottom