kwani kila kizazi ilikifanikiwe sio swala la theory that mtu fulani mwenye mtazamo fulani, kwani yeye alitoa wapi hizo theory , alijaribu kubuni au kuzifanyia kazi hizo theory ndipo akaja na msimamo wake kuhusu swala hilo. okey ninaongea nimekuwa na tafifi zilizo nichukua miaka mitano kwa maana ya 2011 mpaka sasa.
mfano. ndege ya kwanza ilitengenezwa ikiwa ni matokeo ya wanasayansi wa uingeleza kukataa kwamba hakuwezi kuwa na ndege inayotembea angani.
mwaka 1901-1902. kuanzia mwaka 1903-1910 waliwaprove kuwa completely wrong baada ya kutengeneza ndege ya kwanza.
kwa hiyo this meant kwamba ndege ya kwanza ilichukua muda wa miaka 8. katika maabara.
henry ford aliweza kutengeneza engine ya 8 cylinder kwa muda wa miaka 2 kwa maana hii mwaka wa kwanza walikataa mafundi kwamba haiwezekani , na mwishoni ikawezekana.
dont lie on the research ,start plan and see the output.
huwa i dont believe at anyone rather than going through to show the world that we can make it. sir
wakatokea vijana wawili