Kuongelea bombardier kwa utawala huu ni hatari sana kuliko hata kukutwa na madawa ya kulevyaHata siamini mjue,
Mwijage is no where to be heard, Sizonje is at a loss..
Sasa ni kusumbua wafanyabiashara, kuwatisha na kuwanyang'anya mali na fedha zao...nyumba, mashamba, viwanja, magari nk.
Bombardier zimeyeyuka...elimu bure uongo mtupu, mimi kila mwezi nalipa michango inayozidi sh.25,000 kwa mwanangu anayesoma shule ya msingi ya umma...chakula sh.10,000/=; masomo ya ziada sh. 10,000/=; mlinzi sh. 2000/=; maji sh.3000/=
Vipaumbele sasa ni mateso yasiyomithilika kwa watu wenye mawazo mbadala...piga risasi Tundu Lissu, kill an innocent young University student Akwilina Aquiline halaf gharamikia mazishi yake na jifanye una huruma kupindukia...Kamata wabunge wa upinzani, wafungulie kesi za uongo na vifungo vya uongo tu..
Tanzania ya viwanda is dead and dusted!
SizonjeHata siamini mjue,

Imebakia kwa Sizonje kurudia: (ongelea kwenye pua) "jamani niombeeni". Ameambulia maombi 75% yakimtaka A RIP.Hata siamini mjue,
Mwijage is no where to be heard, Sizonje is at a loss..
Sasa ni kusumbua wafanyabiashara, kuwatisha na kuwanyang'anya mali na fedha zao...nyumba, mashamba, viwanja, magari nk.
Bombardier zimeyeyuka...elimu bure uongo mtupu, mimi kila mwezi nalipa michango inayozidi sh.25,000 kwa mwanangu anayesoma shule ya msingi ya umma...chakula sh.10,000/=; masomo ya ziada sh. 10,000/=; mlinzi sh. 2000/=; maji sh.3000/=
Vipaumbele sasa ni mateso yasiyomithilika kwa watu wenye mawazo mbadala...piga risasi Tundu Lissu, kill an innocent young University student Akwilina Aquiline halaf gharamikia mazishi yake na jifanye una huruma kupindukia...Kamata wabunge wa upinzani, wafungulie kesi za uongo na vifungo vya uongo tu..
Tanzania ya viwanda is dead and dusted!
Ndoto.Tunakwenda Mdogo mdogo. Tunatengeneza Ili tuwe na umeme wa Uhakika. Viwanda haviwezi kufanya vizuri bila ya kuwa na miundo mbinu kama Umeme wa Uhakika, Barabara nzuri na Reli ya uhakika kwa ajili ya kusafirishia bidhaa.
(Nafikiri nimetetea kwa kiwango Kikubwa hapa na mmeelewa).
wale walikuwa wanajenga Mabomba ya maji ya dawasco,ile ni project ya dawasco Flyover bado mkandarasi hajapatikana.Kuna kipindi nilikatiza maeneo ya Ubungo Mataa nikakuta wachina wamejipanga kweli kweli kutengeneza flyovers. Juzi kati nilifika tena Dar nikakuta pametulia kimya na hakuna lolote linaloendelea; what's wrong?
Mtoa mada unamtafuta mkuluHata siamini mjue,
Mwijage is no where to be heard, Sizonje is at a loss..
Sasa ni kusumbua wafanyabiashara, kuwatisha na kuwanyang'anya mali na fedha zao...nyumba, mashamba, viwanja, magari nk.
Bombardier zimeyeyuka...elimu bure uongo mtupu, mimi kila mwezi nalipa michango inayozidi sh.25,000 kwa mwanangu anayesoma shule ya msingi ya umma...chakula sh.10,000/=; masomo ya ziada sh. 10,000/=; mlinzi sh. 2000/=; maji sh.3000/=
Vipaumbele sasa ni mateso yasiyomithilika kwa watu wenye mawazo mbadala...piga risasi Tundu Lissu, kill an innocent young University student Akwilina Aquiline halaf gharamikia mazishi yake na jifanye una huruma kupindukia...Kamata wabunge wa upinzani, wafungulie kesi za uongo na vifungo vya uongo tu..
I wonder how quickly the rulers have lost focus...
Tanzania ya viwanda is dead and dusted...God have mercy!
Kingunge rest in a place you deserve! But nakumbuka maonyo yako kuwa "TUSIMPELEKE NYAMPARA IKULU". Just rest in a place you deserve! BUT YOUR WORDS WILL LIVE IN MY MIND!Gari lishapoteza direction mda mrefu tusubirie tuu ripoti za majeruhi na waliokufa.