Tanzania ya viwanda: Another failure at first place

sisi kina gogo la shamba tulishangaa sana pale ilipotolewa hoja kwamba,hata hizi kazi wanazofanya wamachinga ni kazi ambazo siliasisiwa na ccm na ziko katika mipanga ya kuziendeleza kwa maana kwamba,ni kazi rasmi
 
Kulikuwa na haja kubwa Ya kuanza na mindset za waTz.....wengi wanategemea Tanzania Ya heavy industry
 
Tatizo uwezo wako ni mdogo. Na mwisho wa siku utakuwa pungu wani. Nenda kwenye tovuti za Serikali mipango ukajifunze na kusoma dira ya maendeleo na Sera mbalimbali. La sivyo utabaki kuwa na kichwa kikubwa bila akili.
Hupaswi kutoa matusi kwa MTU usiyemjua wewe...

Tumia kinywa chako kuongea mambo ya maana katika maisha yako.
 
Kama ulivyojitambulisha mwenyewe elimu yako ni ndogo, na ndio maana hata maswali unayojiuliza, kama ungekua na elimu/au angalau uelewa kidogo tu, usingeuliza maswali. Yaani huelewi kwa mfano sement ya dangote he haina soko? je imewekezwa na serikali? Ni dizaini ya wachawi wa nchi hii wasiopenda maendeleo. Kama vile TV Fulani hivi, kipindi cha jumamosi asubuhi:- wako, raisi azibitiwe, raisi ashauriwe, raisi, dictator, raisi akosolewe. Kipi kibaya alichokifufanya,hawakisemi. Halafu hata ukiwatazama macho yao yalivyo utaona tu kua hawa watu ni hatari kwa mustakhabali wa maendeleo ya nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…