Mh Rais umguse katika nyanja ipi hajatia mkoono wake wa maendeleo,yajayo yanafurahisha
Sisemi kuwa ataweka mradi Fulani ila anaenda kuboresha,ameweka mkono katika Kila nyanja ya maisha watanzania wanaahidi kumpa ushindi wa kishindo Ili akamilishe utiririshaji wa oxygen ya maisha bora katika Kila kitongoji nchini,umeme,maji,elimu Bora,fursa za kiuchumi ,barabara,sekta zote zibambe haswa
Haya yanafanywa kwa ndoto zinazomuongoza kama mteule wa Mungu aliyekuja kuwainua wananchi.Huku MKOANI hata vitongojini wanakwambia mama tena mlinzi wa amani na mboreahaji wa ustawi wa watanzania
Nikakutana na kijana mmoja kamaliza elimu ya upili ya sekondari akasema mama ni kama Franklin Delano Roosevelt aliyekuwa Rais wa Marekani,aliibadilisha nchi ya Marekani na kuwa America ya sasa yenye Neema kwa wakazi wake,mifuko ya hifadhi ya jamii Bora,kilimo na ufugaji safi,maisha wa wazee matibabu safi,malighafi Toka pembezoni mwa nchi zinafika katika soko analochagua mzalishaji,nani kama mama Samia miundombinu imeboreka.
Mama anaendelea kawatua ndogo wa mama wenzake waliokuwa wanatumia mda mwingi kutafuta maji,Sera ya nishati safi wamama ndo huwaambii ,wanasema chakula dakika tano kimeiva,amani ya familia imeboreka
Vijana wanatumia umeme uliofika kila Kona ya nchi kujiboreshea maisha,popote uendapo unawekeza usalama asilimia 💯,huduma za usalama wa fedha zimechagizwa na umeme Kila kijana anauhakika wa kuhifadhi pesa bank au katika simu yake kwa usalama
Mama huyuhuyu anatajwa kuingiza vijana katika MCHAKATO WA utumiaji fursa za ajira,pikipiki Kila Kona vijana kwa wazee wanatumia kutafuta riziki zaidi wamethaminiwa na sasa wanaitwa maafisa usafirishaji tofauti na miaka ya nyuma ambapo vyama vya upinzani waliwapa majina yasiyojali utu huku wakiwatumia kuleta vurugu na baadae kutowajali. Wanasema sasa hivi katika vikundi vyao wanakopeahwa na serikali,wanafunzi vyuo vya kati hadi vile vya juu mikopo imeboreshwa na inafika kwa wakati
Yote na yote wazazi hawawazii tena mwanangu atasoma chuo,mama amewapumzisha wazazi Kila mwanafumzi mwenye sifa kuwa na degree Sio ajabu.
Mama tunakuahidi 2030 malizia muhula wako kwa kuchukua fomu tena watanzania tunakuona kama lulu,zawadi toka kwa Mungu,kiongozi mwenye maono na shauku ya kuiweka Tanzania ya Roosevelt
15 tenaToka hapa
Nadhani ulimaanisha ametia dole kila sehemu sio mkono wote ndo maana yanafurahisha yajayonyanja ipi hajatia mkoono wake wa maendeleo,yajayo yanafurahisha
Katiba hairuhusu. Mwisho 2030. Au wabadili ili agonge mpaka 2035?Mh Rais umguse katika nyanja ipi hajatia mkoono wake wa maendeleo,yajayo yanafurahisha
Sisemi kuwa ataweka mradi Fulani ila anaenda kuboresha,ameweka mkono katika Kila nyanja ya maisha watanzania wanaahidi kumpa ushindi wa kishindo Ili akamilishe utiririshaji wa oxygen ya maisha bora katika Kila kitongoji nchini,umeme,maji,elimu Bora,fursa za kiuchumi ,barabara,sekta zote zibambe haswa
Haya yanafanywa kwa ndoto zinazomuongoza kama mteule wa Mungu aliyekuja kuwainua wananchi.Huku MKOANI hata vitongojini wanakwambia mama tena mlinzi wa amani na mboreahaji wa ustawi wa watanzania
Nikakutana na kijana mmoja kamaliza elimu ya upili ya sekondari akasema mama ni kama Franklin Delano Roosevelt aliyekuwa Rais wa Marekani,aliibadilisha nchi ya Marekani na kuwa America ya sasa yenye Neema kwa wakazi wake,mifuko ya hifadhi ya jamii Bora,kilimo na ufugaji safi,maisha wa wazee matibabu safi,malighafi Toka pembezoni mwa nchi zinafika katika soko analochagua mzalishaji,nani kama mama Samia miundombinu imeboreka.
Mama anaendelea kawatua ndogo wa mama wenzake waliokuwa wanatumia mda mwingi kutafuta maji,Sera ya nishati safi wamama ndo huwaambii ,wanasema chakula dakika tano kimeiva,amani ya familia imeboreka
Vijana wanatumia umeme uliofika kila Kona ya nchi kujiboreshea maisha,popote uendapo unawekeza usalama asilimia 💯,huduma za usalama wa fedha zimechagizwa na umeme Kila kijana anauhakika wa kuhifadhi pesa bank au katika simu yake kwa usalama
Mama huyuhuyu anatajwa kuingiza vijana katika MCHAKATO WA utumiaji fursa za ajira,pikipiki Kila Kona vijana kwa wazee wanatumia kutafuta riziki zaidi wamethaminiwa na sasa wanaitwa maafisa usafirishaji tofauti na miaka ya nyuma ambapo vyama vya upinzani waliwapa majina yasiyojali utu huku wakiwatumia kuleta vurugu na baadae kutowajali. Wanasema sasa hivi katika vikundi vyao wanakopeahwa na serikali,wanafunzi vyuo vya kati hadi vile vya juu mikopo imeboreshwa na inafika kwa wakati
Yote na yote wazazi hawawazii tena mwanangu atasoma chuo,mama amewapumzisha wazazi Kila mwanafumzi mwenye sifa kuwa na degree Sio ajabu.
Mama tunakuahidi 2030 malizia muhula wako kwa kuchukua fomu tena watanzania tunakuona kama lulu,zawadi toka kwa Mungu,kiongozi mwenye maono na shauku ya kuiweka Tanzania ya Roosevelt
Katiba sio msahafu,katiba ni wananchi na wananchi wengi wakiamua hio ndio demkrasia,Sio mnalazimisha reforms wakati mpo 15 kati ya watanzania zaidi ya m 60 manake 55 wamekimbia hawataki ,sauti ya wengi ni sauti ya MunguKatiba hairuhusu. Mwisho 2030. Au wabadili ili agonge mpaka 2035?
Ndo umemaliza ndio maana hata mitaa na vijiji mliangukia pua hamna hoja zaidi ya kutukana,watanzania wameelimika Kila Kijiji unakuta shule mbili msingi hadi tatu,Kila KATA Kuna sekondari mbili hadi tatu Bado za wawekezaji,Nini utamdanganya mtanzania,elimu wanayo,wanajua fursa zilizowekwa na serikali na namna ya kizitumia.Mkishangaa ongezeko la Mashoga mjue Mambo Kama haya ni Virusi vyenyewe katika Jamii.
Wanaume straight tunakoenda wataisha kabisa.
Katiba sio msahafu,katiba ni wananchi na wananchi wengi wakiamua hio ndio demkrasia,Sio mnalazimisha reforms wakati mpo 15 kati ya watanzania zaidi ya m 60 manake 55 wamekimbia hawataki ,sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
Wakati ukifika wabadili. Kwa Sasa katiba hairuhusu. Au wabadili hata kesho.Katiba sio msahafu,katiba ni wananchi na wananchi wengi wakiamua hio ndio demkrasia,Sio mnalazimisha reforms wakati mpo 15 kati ya watanzania zaidi ya m 60 manake 55 wamekimbia hawataki ,sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
Watu 15 kweli kati ya M60 hao ndo tulisema waende Burundi watupishe kwanza tupambane na kuwaletea watanzania wengi maendeleo,kwa sasa Sio kipaumbeleWakati ukifika wabadili. Kwa Sasa katiba hairuhusu. Au wabadili hata kesho.
Aah ni Zanzibar?Mh Rais umguse katika nyanja ipi hajatia mkoono wake wa maendeleo,yajayo yanafurahisha
Sisemi kuwa ataweka mradi Fulani ila anaenda kuboresha,ameweka mkono katika Kila nyanja ya maisha watanzania wanaahidi kumpa ushindi wa kishindo Ili akamilishe utiririshaji wa oxygen ya maisha bora katika Kila kitongoji nchini,umeme,maji,elimu Bora,fursa za kiuchumi ,barabara,sekta zote zibambe haswa
Haya yanafanywa kwa ndoto zinazomuongoza kama mteule wa Mungu aliyekuja kuwainua wananchi.Huku MKOANI hata vitongojini wanakwambia mama tena mlinzi wa amani na mboreahaji wa ustawi wa watanzania
Nikakutana na kijana mmoja kamaliza elimu ya upili ya sekondari akasema mama ni kama Franklin Delano Roosevelt aliyekuwa Rais wa Marekani,aliibadilisha nchi ya Marekani na kuwa America ya sasa yenye neema kwa wakazi wake,mifuko ya hifadhi ya jamii Bora,kilimo na ufugaji safi,maisha wa wazee matibabu safi,malighafi toka pembezoni mwa nchi zinafika katika soko analochagua mzalishaji,nani kama mama Samia miundombinu imeboreshwa.
Mama anaendelea kawatua ndoo wa mama wenzake waliokuwa wanatumia mda mwingi kutafuta maji,Sera ya nishati safi wamama ndo huwaambii ,wanasema chakula dakika tano kimeiva,amani ya familia imeboreka,wamama wameitikia sasa wanajikita katika uzalishaji na kuwaunga mkono waumenzao kujiletea maendeleo katika familia zao
Vijana wanatumia umeme uliofika kila Kona ya nchi kujiboreshea maisha,popote uendapo unawekeza usalama asilimia 💯,huduma za usalama wa fedha zimechagizwa na umeme Kila kijana anauhakika wa kuhifadhi pesa bank au katika simu yake kwa usalama
Mama huyuhuyu anatajwa kuingiza vijana katika mchakato wa utumiaji fursa za ajira,pikipiki kila kona vijana kwa wazee wanatumia kutafuta riziki zaidi wamethaminiwa na sasa wanaitwa maafisa usafirishaji tofauti na miaka ya nyuma ambapo vyama vya upinzani waliwapa majina yasiyojali utu huku wakiwatumia kuleta vurugu na baadae kutowajali. Wanasema sasa hivi katika vikundi vyao wanakopeshwa fedha na serikali,wanafunzi vyuo vya kati hadi vile vya juu mikopo imeboreshwa na inafika kwa wakati
Yote na yote wazazi hawawazii tena mwanangu atasoma chuo,mama amewapumzisha wazazi Kila mwanafumzi mwenye sifa kuwa na degree Sio ajabu.
Mama tunakuahidi 2030 malizia muhula wako kwa kuchukua fomu tena watanzania tunakuona kama lulu,zawadi toka kwa Mungu,kiongozi mwenye maono na shauku ya kuiweka Tanzania ya Roosevelt
Hoja yako ni ipi? Agombee ikiwa katiba hairuhusu kisa wengi wanataka?Watu 15 kweli kati ya M60 hao ndo tulisema waende Burundi watupishe kwanza tupambane na kuwaletea watanzania wengi maendeleo,kwa sasa Sio kipaumbele