Mkuu Tanzania haiwezi kuendelea bila roadmap yani mipango ya miaka 30. Sasa kila raisi na vipaumbele vyake huyu kilimo huyu viwanda ajaye anaweza kuja na uvuvi. Halafu budget yetu ndogo lakini tuna vipaumbele vingi sana ndo maana kila mwaka ela inayopelekwa kwenye maendeleo uwa hata haifiki 50% ya iliyoidhinishwa.Bila shaka tukimpa Rais Maguful muda wa nyongeza kama miaka 10 nazani kufikia 2030 Tutaiona Tanzania ikiwa kama hapo chini kwa picha [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 967467
Kuwa positive wewe kijana mdogoMkuu Tanzania haiwezi kuendelea bila roadmap yani mipango ya miaka 30. Sasa kila raisi na vipaumbele vyake huyu kilimo huyu viwanda ajaye anaweza kuja na uvuvi. Halafu budget yetu ndogo lakini tuna vipaumbele vingi sana ndo maana kila mwaka ela inayopelekwa kwenye maendeleo uwa hata haifiki 50% ya iliyoidhinishwa.
Na haya unayoyaona kwenye picha hayapangwi na mtu mmoja toka ikulu kwamba kila akiamka ana allocate atakavyo
TrueMaendeleo hayana Chama!
Acha kujidharau kijana mdogo weweDuh! kama Dubai hapo hapana, bwana mkubwa hana uwezo huo. Waarabu pamoja na black gold yao wametumia muda mara mbili ya huo kufika hapo.
Hakuna asiyependa maendeleo ila let's call a spade a spade...Kuwa positive wewe kijana mdogo
Achana na kupinga maendeleo utaangamia
Naomba Mungu atimize ndoto hiiHizi siasa za China za kuwa na rais wa maisha zinatunyatia
Kama chinaMbona michache sana
Awe rais wa maisha yote
Kama alisukumizwa amwachie membe 2020 sasa kama wanavyodaiUmewaza mbali sana na umetushituwa, yaani tuwe na uRais wa China [emoji630]?
Aah Uncle Magu hataki maana ameshasema ni kazi ngumu na alisukumizwa tu! [emoji848]