TANZANIA YA 2030

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Bila shaka tukimpa Rais Maguful muda wa nyongeza kama miaka 10 nazani kufikia 2030 Tutaiona Tanzania ikiwa kama hapo chini kwa picha [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Teh, lakini ndo hivo mkuu yupo wapi kwa sasa na nafasi yake katika chama na serikali au nchi ni nani maana simsikii kabisaa
Mbunge [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] yupo jimboni kwake huko ....sijui alilewa nini mende yule kuja na hoja za kipuuzipuuzi
 
Hizi siasa za China za kuwa na rais wa maisha zinatunyatia
 
Bila shaka tukimpa Rais Maguful muda wa nyongeza kama miaka 10 nazani kufikia 2030 Tutaiona Tanzania ikiwa kama hapo chini kwa picha [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 967467

Kwa jinsi anavyobomoa majumba ya watu nadhani picha yako inabidi edit kidg ondoa magorofa kimara sehem kuliko kua na nyumba nzur tu leo masai wanachunga mbuzi na zinashiba vizur na kunona
 
Bila shaka tukimpa Rais Maguful muda wa nyongeza kama miaka 10 nazani kufikia 2030 Tutaiona Tanzania ikiwa kama hapo chini kwa picha [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 967467

Hata wewe mwenyewe (ukiamua kuisikiliza hiyo sauti inayozungumza nawe kuhusu kila kitu unachokifanya ukiwa peke yako) UNAJUA KUWA HAPA UMEONGOPA.
 
Duh! kama Dubai hapo hapana, bwana mkubwa hana uwezo huo. Waarabu pamoja na black gold yao wametumia muda mara mbili ya huo kufika hapo.
 
Rafik yake Kagame ana miaka mingap na hio rwanda iko waap? Mjomba wangu kutoka kijijini vumari alishaniambiaga, ni afadhali kupoteza kiatu kuliko akili
 
Acha roho mbaya.......miaka 3 tu mambo yameganda sasa unatuletea pumba hapa.....lbd akaongoze familia yako wewe na mkeo mpk 2030
 
Hizi siasa za China za kuwa na rais wa maisha zinatunyatia
Umewaza mbali sana na umetushituwa, yaani tuwe na uRais wa China [emoji630]?
Aah Uncle Magu hataki maana ameshasema ni kazi ngumu na alisukumizwa tu! [emoji848]
 
Nadhani angekuongeza ww Rasco Boy uwe mmoja wa wake zake, ungemshauri vyema na 2030 Tz ingekuwa zaidi ya hapo....nakutakia ndoa njema na Chifu Nanga.
Bila shaka tukimpa Rais Maguful muda wa nyongeza kama miaka 10 nazani kufikia 2030 Tutaiona Tanzania ikiwa kama hapo chini kwa picha [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 967467
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…