Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,614
Ni Tz pekee ambako kwa asilimia kubwa Msanii anaweza kufanya kazi zote za taaluma na zisizo za taaluma.
Tanzania Msanii ni Msanii.
Tanzania Msanii ni Mwanasiasa.
Tanzania Msanii ni Mfanyabiashara.
Tanzania Msanii ni Mkulima.
Tanzania Msanii ni Mtangazaji/Mwanahabari.
Tanzania Msanii ni Balozi wa Tumaini Jema.
Tanzania Msanii ni Balozi wa Jamhuri nje ya nchi.
Tanzania Msanii ni Mbunge.
Tanzania Msanii ni Diwani.
Tusipokuwa makini naona Wasanii wa Tz wanaenda kuwa Mitume, Manabii, Maaskofu, Walimu, Makuhani, Wainjilisti, Masheikh, Wachungaji nk.