Tanzania vs Yemen

kwa hiyo kaseja akirudi, taifa stars itashinda?
nilikuwa na maanisha wakina kaseja na wenzake kwani hao ndio washabiki wengi wamekuwa wakililia labda kutakuwa na mabadiriko na ikishindikana maximo mwenyewe aondoke apishwe mtu mwingine.jamaa naona anajaribu kutuburuza kwa kutumia jina la nchi yake kwenye soka lakini yeye mwenyewe kaishiwa mbinu.alianza vizuri lakini naona kalewa nguvu aliopewa na serikali na TFF.
 
Back
Top Bottom