Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,139
Reaction score
88,800
FULL TIME: SOUTH AFRICA 1 - TANZANIA 0


Siku ya leo tarehe 30 April, majira ya saa 12 jioni kwa masaa ya Africa Mashariki, vijana wetu wa Tanzania walio chini ya miaka 20 almaarufu kama Ngorongoro Boys watakipiga na vijana wa South Africa katika mechi za kundi A ya CAF U20 AFCON.
b579a9_d44924890589406e8e26d432220a5583~mv2.jpg

Hii ni mara ya pili kwa Tanzania kushiriki haya mashindano, mara ya kwanza ikiwa ni 2021.
images (6).jpeg

Mechi itakua Live CAFOnline YouTube kama una bundle la kutosha unaweza kucheki ila kwa niaba ya JamiiForums tutajitahidi kuweka updates hapa kadri tuwezavyo.

Hadi sasa matokeo katika magroup yote ni kama ifuatavyo:
hq720.jpg


Mungu ibariki Tanzania, Mungu waba
 
Back
Top Bottom