(zoba ?)lugha hii ya matusi/kejeli hapa hairuhusiwi.Usiwe zoba hivi umeona yaliyozungumzwa leo mjengoni umeona matapishi eeè.
Tanzania vichekesho maisha yetu kama tunacheza drafti vile mana juzi juzi tulikuwa kwenye suala la umeme leo tupo kwenye suala la mafuta na viongoz wetu wanaongea pumba tuu.
hebu tuangalie wabunge na mawaziri waliochemsha na wanaongea pumba bungen na waliochemsha kwny wizara zao

Wewe wakati unapost hii thread umeangalia uko kwenye forum gani? [h=1]Forum: Jokes/Utani + Udaku/Gossips[/h]
Kwani ulitaka aiweke wapi? Hapa ndo mahali pa sredi kama.
Usiwe zoba hivi umeona yaliyozungumzwa leo mjengoni umeona matapishi eeè.