Tanzania unemployment rate is going to be 100% next year

Acha ujinga ajira rasmi sio laxima serikali,, serikali sio mtoa ajira mkuu ktk nchi za kicapitalist , government kax take kuweka condusive environment for private investor. To grow nenda south Africa ,ukaone makampuni makubwa ya kibepari yalivyojaa , tu mfano tukiwa na supermarkets, moja kubwa inaweza ajira zaidi ya watu 2000 katika supply chain yake,, kuliko kuwa na viduka vya mangi vinavyotoa ajira kwa mchanga mmoja , dogo njoo hapa Brazil , Chile collombia uone ajira zinavyotengenezwa ,sio umekaa tuhapo kwa manyau nyau
Bro nimekwambia serikali imeajiri kundi dogo sana na bado maisha yanaendelea maana ake raia wanapiga pesa nje ya serikali hujaelewa nini hapo
 
Nazungumzia professional jobs@ acha ujinga ww acha na hizo informal jobs zina little contributions to the economy ,# Tatizo unaonekana umesoma vyuo uchwara kama udsm na cbe au you are uneducated na huna exposure

Kwanza wewe mwenyewe hujui exposure ni nini. Unadhani exposure ni kuishi nje ya Tanzania. Pia unadhani elimu bora ya juu inapatikana nje ya Tanzania tu-hata kama umeungaunga kwenye community colleges flani flani nchi flani flani...Unaongea as if umesoma Cambridge, au Harvard au Oxford... Kama vile hauko South America vile. Folly knows no heights.
 
Inawezekana hatujajua kachukua muda gani kufanya hyo M&E nakuja na tathmni hyo 100%unemployment na ameanza kuanzia mwaka gani na kufikia Leo sasa tusilaumu sana juu yake inawezekana bado hajaelewa ajira ziko za aina ngapi.
 
Umeanzisha uzi kuiridhisha nafsi yako. Kweli kwa akili yako unafikiri kabisa ukosefu wa ajira unaweza kufika 100%?. Yaani hata mama ntilie hawatakuwepo,hapatakuwa na wakulima,no bodaboda, hakuna biashara etc?. Au wewe ajira unaitafsiri vipi/unaielewaje!
I'm sorry to say umeandika pumba.
Wewe ni mjinga hasa na mpumbavu hasa
 
Mkuuu ukiwa na hayo madegree siyo lazima uajiriwe... Miwenyewe nna lidigrii langu nilisomea kozi fulani ya sayansi.. Ila sijaajiriwa mpaka leo.. Mwka wa pili huu sasa... Ila nimejiongeza napiga mishe ambazo hata sikusomea zinatumia akili hata situmii nguvu.. Nna uhakik wa 300k - 700k per m kutoka kwa my own part time bizznee. Na nikipata ajira ndyo watakuwa wamempiga chura teke..

Fursa zipo ..tuangalie njee ya box.. Ukifikiria ujiajiri kupitia ulichosomea huwezitoka mtaji unaweza kuzingua ila tumia kidogo ulichosomea kujiajiri ..naamini kwa level ya digrii kuna kakozi nyingi tuu ulipiga huko chuoni hata ziele electives course za ujasiliamali au IT mnaweza fanya kitu fulani mkapiga pesa... Kwa sasa mi natumia elective zangu za Information and communication tech na kujiongeza kidogo na akili zangu za kuzaliwa kupiga pesa... Nikiitwa kwenye intavyuu sikopi sehemu naibuka faster kuhudhuria...
Muhuni wewe!
 
Mwezi Jana nilikuwa Tanzania mainland ktk mji wa makambako nimekutana na madogo wengi sana wana degree na hawana ajira. Nikishangaa sana wakat hapa Brazil , MTU mwenye degree ajira lazima, kweli Tanzania nikichwa cha mwendawazimu
Katiba yetu ni mbaya.
Na nchi haina rahisi.
 
Sio kwa Tanzania, umeongea kirahisi sana.
Usidhanj hao vijana wasio na ajira hawana plan B, mfumo wa kujiajiri ukiwa mbovu hakuna kitakachofanya kazi.
Serikali inatakiwa iweke mazingira bora yatakayowezesha watu kujiajiri na kufanya biashara.
Sawa sawa mkuu...
 
Acha ujinga ajira rasmi sio laxima serikali,, serikali sio mtoa ajira mkuu ktk nchi za kicapitalist , government kax take kuweka condusive environment for private investor. To grow nenda south Africa ,ukaone makampuni makubwa ya kibepari yalivyojaa , tu mfano tukiwa na supermarkets, moja kubwa inaweza ajira zaidi ya watu 2000 katika supply chain yake,, kuliko kuwa na viduka vya mangi vinavyotoa ajira kwa mchanga mmoja , dogo njoo hapa Brazil , Chile collombia uone ajira zinavyotengenezwa ,sio umekaa tuhapo kwa manyau nyau
Duh mbongo akibahatika kuukimbia umaskini kwao anakuwa na matusi sana. Back to your content, kwamba Brazil kila anaemaliza degree lazima apate kazi?!!! Amazing.
 
Mwezi Jana nilikuwa Tanzania mainland ktk mji wa Makambako nimekutana na madogo wengi sana wana degree na hawana ajira. Nikishangaa sana wakati hapa Brazil , MTU mwenye degree ajira lazima, kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu.
Wengi ni idadi gani na mlikutana kwa dhumuni lipi?
 
Nazungumzia professional jobs@ acha ujinga ww acha na hizo informal jobs zina little contributions to the economy ,# Tatizo unaonekana umesoma vyuo uchwara kama udsm na cbe au you are uneducated na huna exposure
Ficha upumbavu mkuu..
Ukiona huna akili uwage unakaa kimya ili kutunza heshima yako..

Kwahyo unamaanisha professional jobs zitakuwa 0.?

Hakutakuwa na ma engineer.?
viwanda vyote vitafungwa.??
mitandao ya simu itafukuza wafanyakazi.?
shule zote zitakuwa hazina mwalimu hata mmoja.??
Vyuo vikuu havitakuwa na lectures..?
Madereva wote wa vyombo vya usafiri watafukuzwa kazi.?

Ukivuta bange uwe unakula chakula,hizo bange za kuvuta alafu unakunywa maji na karanga, ipo siku utakuja kumwambia mamako ''samahani wewe mama hivi nimeshawahi kukuona wapi''..
 
Pamoja na kwamba unajinadi kwa kujiona umesoma saana, ila Tanzania haiwezi kufikia 100% unemployment plobrem, kwanza unaposema asilimia mia unemployment unamaanisha usichokijua, it means hali itakuwa very catastrophic more than Venezuela is right now
What is this, Plobrem ?
 
Back
Top Bottom