Tanzania "Undemocratici" Watumia "Jeshi" Kuongoza Taifa. Upigaji Kura "Mizengwe Tupu"

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Wananchi wa Taifa la Tanzania wanaendelea kudanganywa upigaji kura unamaana fulani wakati "Hakuna Democratic Process" yeyote ile. Tangu mwalimu Nyerere aingie madarakani na mpaka leo hii kaja Mwinyi, Mkapa na sasa Kikwete. Nchi yeyote ile na chama chochote cha kisiasa chenye nia ya kueneza demokrasia nchini mwake kawaida kina saidia kuelimisha wananchi wake jinsi ya kufikia mafanikio ya demokrasia ili Taifa linyanyuke kwenda kwenye maendeleo. Chama cha CCM tunaona malengo yao makubwa ni "Kuitwa Chama Tawala" milele bila kuwa responsible kwa wananchi. Jeshi la Tanzania hasa polisi (FFU) wanatumia kama wenda wazimu, hao hao ndio wanalala kwenye nyumba ya chumba kimoja na watoto wao. Demokrasia na haki gani umewafikia vikundi vya polisi? Maofisa wa juu wa jeshi la polisi na ulinzi ndio wanakuala pesa za Dowans, wengine kulala vyumba kibovu....Tukiangalia wananchi waliopigwa rangi ya kijani - kugombea viti vya Ubunge na nafasi zingine za Kitaifa, utaona "Wote ni Wabinafsi na Wasiopenda Amani" Hapa nawatoa Wapiganaji Shupavu Mwakyembe na Sitta. Wananchi hatuwezi kukaa kimya na kuangalia unyama wa CCM sio Bungeni wala Serikalini. CCM wana wafananisha Watanzania wote kama vichaa wanaowasupport. Mabadiliko yanakuja hata hawa wabinafsi hawataki au wanataka. Kitu tunafahamu ni kwamba shetani tunae na analala na chama cha CCM kutumaliza. Taifa la Tanzania halita kufa kwasababu ya watu kama Kikwete, Rostam, Pinda na Makinda. Tunawashahuri uongozi wa Chadema Kutumia Every Means Tulizonazo Kuleta Kupigania Haki, Ukweli, Sauti ya Watanzania, Kuiwelimisha Dunia Juu ya Violations za Haki za Watanzania na Kubana Kila Mkono wa Donors Kutotoa Misaada Inayokwenda Kuwalipa Wao CCM-Dowans. We Will Fight for Our Rights....Katiba sio ya CCM ni kwa manufaa ya Taifa.

"Tupo Pamoja na Chadema na Mwezi Huu wa Pili Taifa Litawaka Moto Kufukuza CCM"

Mkapa and wife now wind up controversial company
JK: I don
 
Back
Top Bottom