Tanzania tuwaige Korea kusini

batmanwafez

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
882
Reaction score
1,364
Habarini wadau, kila nchi ina vitu vizuri na vibaya vyake ila sio mbaya mtu kufata na kuiga mfano wa vile vitu vizuri.

Kwa mfano hii sheria ya korea kusini inayotaka raia wake wote kabla ya kufikisha miaka 28 wapitie mafunzo ya jeshini kwa miaka miwili...labda tu wawe wameletea sifa taifa lao kupitia michezo

Binafsi kama mwanamichezo niliipenda sana kwa sababu inawapa vijana moralii ya ushindani, sio tu kwenda kwenye mashindano bila malengo yoyote.

Ningependa sana siku moja hii sheria ipitishwe[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha Mwita Waitara anasema " Kaa hapo unywe beer hayo hayatakusaidia chochote"
 
Ushawahi kuona impact yoyote kwa vijana walioenda JKT kwa mujibu wa sheria tofauti na wale ambao hawajaenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…