Bibititi1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2014
- 464
- 218
Wengi wenye hulka Za kudandia mambo na wenye chuki za kike ndio walilishikia bango hili suala na kwenda mbele zaidi kuwa Makamba ni muhusika na achukuliwe hatua! Wengi hapa tulichukulia suala hili kimhemuko bila kuwa na Ushahidi wa kutosheleza kuchukulia jambo juu kwa juu kutoka kwa mtoa Taarifa ambaye hana uhakika na Taarifa hizo Leo mwenyewe mtoa Taarifa kwa maneno yake amethibitisha kwamba hana ushahidi wa kutosha na Taarifa ni Za kupewa jinsi gani ambavyo sisi hapa Tuliingia kwenye mijadala isiyokuwa na tija tumsaidie Magufuli kwenye shughuli za kimaendeleo sio kwenye majungu na fitna hazijengi wapendwa!