Tanzania tutafika huku lini?

Tanzania tutafika huku lini?

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
482572_598585153563188_2118430861_n.jpg
 
MACCM yakiondoka hata kesho hiyo itachukua si zaidi ya miaka 10 kwa utajiri wa rasilimali tulizonazo... Ni kiasi cha kubadilisha dhahabu, gesi plus uranium na hizo mambo...

Ila kwa CCM hii hata miaka 100 wakitupa hatufiki...
 
Mi naamini tutafika tu! Hatukua hapa tulipo hapo kabla ila kama tutategemea CCM au CHADEMA watufikishe hapo hatutafika milele ila wao watafika!
 
Hizohizo tu Mwendabure nyie hata hamna hzo za kuunga.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom