Tanzania tunaweza, Mwanafunzi wa Ilboru atengeneza 'Robot'

NGolo Kante

Member
Feb 28, 2017
80
131
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Ilboru iliyopo Jijini Arusha akionyesha namna 'Robot' alilolitengeneza kwa kutumia zana mbalimbali.

Rai yangu kwa watanzania tujaribu kuunga mkono jitihada na vipawa vya vijana mbalimbali ili kujenga msingi bora wa mapinduzi ya kiteknolojia.

Attachments

  • Mwanafunzi wa Ilboru .mp4
    2.4 MB · Views: 48
habari nzuri sana kwa taifa kwa kuwa nchi yetu tunataka iweya viwanda lazima serikali yetu itamuangallia huyu kijana kwa jicho la tatu iliwaweze kumuwezesha kwenye icho kipaji chake
 
Tatizo ni serikali kutounga mkono watu kama hawa. Serikali inatakiwa ipromote hizi mambo za sayansi. Badala yake wanataka watu wazeeke madarasani. Wenzetu ulaya mtoto ana miaka 10 anakutengezea robot ama programj yenye manufaa, sio ndo kwanza tunajadili eti mtu kama hujafika form 6 ata kama una diploma huingii degree.....
 
Kwa sababu huwa hatujui thamani ya watu kama hao, ngoja wanaojua waje wamchukue huyo kijana wakampe uraia wa kwao na jina wambadilishe, aingizie nchi ya mapesa ya kutosha na sifa kibao huku atakua anarudi kufanya utalii tu. Yupo mwingine Arusha huku anaatengeneza matrecta kwa kutumia engine za pikipiki, ameweza kutengeneza na kusambaza umeme karibia kijiji kizima ila bado hajapata msaada kutoka kwa serikali.
 
a
Mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Ilboru iliyopo Jijini Arusha akionyesha namna 'Robot' alilolitengeneza kwa kutumia zana mbalimbali.

Rai yangu kwa watanzania tujaribu kuunga mkono jitihada na vipawa vya vijana mbalimbali ili kujenga msingi bora wa mapinduzi ya kiteknolojia.

am so proud my school mate,keep it up and go on never came back.watu wanabishaga hao vijana kuwa sio vijana ila kuna vijaana hapo wana uwezo jamani. hakuna mazingira rafiki kwa vipaji. I wish USA army kile kitengo cha NASA wamchukue akaendelezwe dogo asome vitendo zaidi na sio ilimradi asome degree. Hapa kwetu najua wanachukua vilaza jeshini pia siasa/wanasiasa ndo wanathaminiwa na ndo inalipa ila vipaji kama hivi peleka mbele hapa dogo kipaji kitakufa Mungu. MUNGU msaidie huyu kijana awe kule NASA japo akutane na wanasayansi wa ki Israel ili apate changamoto za kukuza kipaji chake kiweze kumsaidia yeye na familia yake pia baadaye na TAifa letu kiujumla.
 
Kwa sababu huwa hatujui thamani ya watu kama hao, ngoja wanaojua waje wamchukue huyo kijana wakampe uraia wa kwao na jina wambadilishe, aingizie nchi ya mapesa ya kutosha na sifa kibao huku atakua anarudi kufanya utalii tu. Yupo mwingine Arusha huku anaatengeneza matrecta kwa kutumia engine za pikipiki, ameweza kutengeneza na kusambaza umeme karibia kijiji kizima ila bado hajapata msaada kutoka kwa serikali.
inauma sana mie nimesoma hapo ILBORU na vijana wana uwezo amaizing kiasi kuwa wangeweza kuchukuliwa na serikali wakapelekwa sehemu wakaiba knowledge afu waje wa import kwetu
 
inauma sana mie nimesoma hapo ILBORU na vijana wana uwezo amaizing kiasi kuwa wangeweza kuchukuliwa na serikali wakapelekwa sehemu wakaiba knowledge afu waje wa import kwetu
Mkuu tatizo wao wanafikiri HAPA KAZI TU itafanikiwa bila kuwawezesha vijana na watu wenye vipaji kama hao, huyo dogo anamwanga ambapo kama serikali ikiinvest kwake inaweza kuja kuvuna hundreds of money, Inachekesha sana kuona waziri anafanya ziara ya mamilioni ya shilingi kumtembelea mtu mwenye kipaji afu waziri anaishia kupiga nae selfie tu bila kwenda kumboreshea sera nzuri za kumwezesha kukua zaidi ili aajiri watu wengi zaidi.
 
Hiyo shule inafundisha hayo au ni mambo personally ya dogo? Even myself nina kipaji cha ubunifu Wa aina nyingi but sipendi maonesho maana am sure no uendelezaji so hubakia wastage
 
Mwenyezi Mungu amuwezeshe kijana.. ana uwezo mkubwa sana. Ila naomba serikal isizingue.. maana hawwachelew kusema.. haina viwango.. sijui hana lesseni.. ilimrad wakukatishe tamaa
 
Back
Top Bottom