jew boy
Member
- Dec 29, 2016
- 52
- 35
Za saahizi wadau, naombeni tujadili mada hii, according to muhongo ni kwamba Tanzania tunanunua umeme kutoka nchi hizo tajwa.
Sasa Mimi najiuliza gas inayotoka mtwara to dar inatusaidia vipi wananchi, walisema gas ikifika dar uzalishaji wa umeme utaongezeka..
Nawasilisha
Sasa Mimi najiuliza gas inayotoka mtwara to dar inatusaidia vipi wananchi, walisema gas ikifika dar uzalishaji wa umeme utaongezeka..
Nawasilisha