Tanzania Tunahitaji Tigo Pesa & Mpesa API, Technology inakua

Tanzania Tunahitaji Tigo Pesa & Mpesa API, Technology inakua

Msamiati

R I P
Joined
Mar 6, 2011
Posts
1,063
Reaction score
700
Wapendwa hivi kwanini haya makampuni ya simu hayataki ku-unlock hii opportunity? Au wanahisi watu watatajirika kwa kutanua wigo wa biashara zao?

Halafu upande wangu nashndwa kabisa kuelewa maana wana interact vizuri tu na mabenk nini kinacholeta ugumu kwenye jambo hili,

Kama kuna mtu yoyote yupo karibu huko na wahusika aje atupe taarifa hapa tujue kama matumaini yapo au vipi na kama hayapo tuangalie tunatumia altenative gani.

Nawasilisha.
 
Mkuu unatakiwa ufafanue zaidi una maana gani kwani watu wasio wa IT watapata taabu sana kukuelewa na issue ya API!
 
Wapendwa hivi kwanini haya makampuni ya simu hayataki ku-unlock hii opportunity? Au wanahisi watu watatajirika kwa kutanua wigo wa biashara zao?

Halafu upande wangu nashndwa kabisa kuelewa maana wana interact vizuri tu na mabenk nini kinacholeta ugumu kwenye jambo hili,

Kama kuna mtu yoyote yupo karibu huko na wahusika aje atupe taarifa hapa tujue kama matumaini yapo au vipi na kama hayapo tuangalie tunatumia altenative gani.

Nawasilisha.

hivi kwani mtu wa tigopesa anashindwa kumtumia mpesa na vice versa ? Mbona hili linawezekana tu ingawa process ni tofauti
 
naona watu hawakumwelewa mleta mada.

API kirefu chake ni application grogramming interface.

Hii ni sheria na kanuni zinazoongoza mfumo fulani kufanya kazi ambapo haya makampuni ya simu yakitoa hii API mfano Mpesa itasaidia developers wa application kutengeneza mifumo zaidi ya malipo kwa njia ya mpesa au tigo pesa bila kuathiri mfumo wa mpesa au tigo pesa.

Mfano facebook API inawezesha madevelopers kutengeneza application mbalimbali zinazo interact na facebook nadhan watumiaji wa simu mmeshaziona nyingi tu.

Kwa kenya Mpesa washatoa API yao sijui kwanini kwa Tanzania bado.
 
SDP AEP ni project kubwa mkuu na ina venture si tu makampuni ya simu bali kunakuwa na consumers pamoja na providers (hawa ni watengenezaji wa API)...

Ila kimsingi makampuni ya simu ndio yenye wajibu wa kwanza wa ku-launch platform ambayo ndio itakuwa inahost hizo API's na Telco & IT services nyingine...
 
Kwa kenya Mpesa washatoa API yao sijui kwanini kwa Tanzania bado.

Ni suala la utandawazi tu mkuu, Safaricom wapo so strategic kibiashara na ndio maana huko Kenya hilo limewezekana...

Sisi hapa bongo tunajikongoja sana, ujue huu ni wakati wa digital era kwa telecom industry lakini tunashindwa kwenda na pace....
 
Wapendwa hivi kwanini haya makampuni ya simu hayataki ku-unlock hii opportunity? Au wanahisi watu watatajirika kwa kutanua wigo wa biashara zao?

Halafu upande wangu nashndwa kabisa kuelewa maana wana interact vizuri tu na mabenk nini kinacholeta ugumu kwenye jambo hili,

Kama kuna mtu yoyote yupo karibu huko na wahusika aje atupe taarifa hapa tujue kama matumaini yapo au vipi na kama hayapo tuangalie tunatumia altenative gani.

Nawasilisha.
ikiwezekana hii nadhani itakuwa ni jambo jema sana maana mpaka sasa si watu wengi wana uelewa wa paypal.
 
Kwa kenya Mpesa washatoa API yao sijui kwanini kwa Tanzania bado.

I'm not really sure kama ni safaricom ndio wametoa API yao, i think its an independent IT firm which created the API ( led by a guy called Pedersen or something, inaitwa PESAPI),

However i have been working with kenyan clients and been spending lots of time there and rumour has it that Safaricom will release an official MPESA API this year.

I agree, we really need an API for these services
 
Vodacom Tanzania hebu njoo hapa useme kitu maana tunalia sana na hili swala nini kinawafanya msiweke wazi hii kitu, tena mkiwatangulia wapinzani wenu mtapiga bao sana.

Hivi huwa amfikirii kuwa kila mtu atataka kutumia Mpesa ili apate access zaidi na uhuru zaidi wa kutumia acount yake kufanya malipo online, na kutumia applications zitakazokuwa zimeingiliana na huduma za Mpesa.

Tutafurahia kuwa na huduma zenu kila mahari, kwenye simu, mitandao na kila mahali.
 
BTW, Msamiati i think PESAPI works with Tanzanian operators as well, i was following up on their google group they say it works with vodacom, tigo and airtel so just clone the repository from Github.

For those of you using php there's even a tutorial on youtube on how to set it up, if you are a rubyist trying to set it up, PM me i can help, its also available for java as well.
 
zech Kuanzia kesho ngoja niifanyie utafiti nitakuja na majibu hapa hapa
 
Pesapal Inafanya kazi kwa Tanzania pia. Lakini ni aibu jinsi tunavyo zidiwa na wakenye katika sekta ya teknolojia.
 
Kuna Research nimeifanya nikagundua kuna namna naweza fanya management ya hizi Online payment. Nimeshaenda mpaka kwa hoa Voda na Tigo, wala msipoteze muda kuwatag, wamekataa kat kata na issue yao kubwa ni usalama (which is valid but then business is al about risks)

Ila nikawaza, Watanzania watakubali kulipia service hiyo? Nilipofika hapo nikaweka pause kwanza. Maana si mnajua watu wetu?
 
Hapo kwenye red mkuu, watanzania wako very unpredictable, somethings wanaweza pitisha fasta visivyo na maana, ila vitu vya msingi it takes a lot of effort wao kuadapt. Nadhani itakua sababu wengi kwanza wako nyuma sana kwenye matumizi ya computer au hata smartphones sijui wanazo wanafanyia nini.
 
zech Kuanzia kesho ngoja niifanyie utafiti nitakuja na majibu hapa hapa

Nimeicheki pesapi, iko open na inajieleza vizuri.

Nadhani tunaweza kutumia mobile SMS gateway yao then tuka code stable API for .NET , JAVA n.k then tukaziingiza sokoni.

Paybill support kwa bongo sijaona pale
 
Sijaelewa kitu hapa, ila inaonekana ni kitu kizuri kwa tunaopenda teknolojia.

Fikiria unataka kununua LUKU au unataka kununua ringtone n.k...

Kwa kutumia mtandao wa simu kwa sasa hivi unaweza fanya hivyo kwa mtindo wa USSD code (ussd code)....

Lakini mbadala wake kumbe ili kuzifikia huduma nyingine za Tanesco kunaweza kukawa na app moja ambayo imezicentralize huduma zote za Tanesco kwa pamoja ikiwemo LUKU...

Mobile operator anaweza kuwa mmliki wa API platform ambayo kazi yake ni kufacilitate telecom capabilities...

API platform inakuwa ni mjumuisho wa;
1. Ready made apps, music, videos kwa ajili ya wahitaji wa kawaida (thirdy party) kununua...(chukulia mfano kitu km google play hivi)

2. Uwanja wa delevopers kutengeneza na ku-upload apps walizotengeneza.
Hawa developers wanakuwa authorized/wanapewa access na mobile operator ambaye anakuwa ni mmliki wa API platform.

3. Mengineyo
 
Back
Top Bottom