Tanzania Tunahitaji Tigo Pesa & Mpesa API, Technology inakua

Tanzania Tunahitaji Tigo Pesa & Mpesa API, Technology inakua

Watu8,

Asante kaka, nimekupata sana.

Wangeifacilitate na developers wetu watengeneze iwarahisihie watu kwenye hizo huduma.

Ukilinganisha wenye smartphones wanavyoongezeka.
 
Last edited by a moderator:
Mfan hili likiwezekana,,naweza link account yangu ya paypal na mpesa au tigo pesa yangu,.???
 
tiGO wametangaza web API leo:

Tigo Tanzania

Wapendwa hivi kwanini haya makampuni ya simu hayataki ku-unlock hii opportunity? Au wanahisi watu watatajirika kwa kutanua wigo wa biashara zao?

Halafu upande wangu nashndwa kabisa kuelewa maana wana interact vizuri tu na mabenk nini kinacholeta ugumu kwenye jambo hili,

Kama kuna mtu yoyote yupo karibu huko na wahusika aje atupe taarifa hapa tujue kama matumaini yapo au vipi na kama hayapo tuangalie tunatumia altenative gani.

Nawasilisha.
 
Ni naitumia API kwa kupitia maxmalipo kwa kwl inanletea faida nyng sn na pia haisumbui kuhusu mtandao mana nachagua mwnyw mtandao wa kutumia....
 
Pesapal Inafanya kazi kwa Tanzania pia. Lakini ni aibu jinsi tunavyo zidiwa na wakenye katika sekta ya teknolojia.
hatuna mwanga mzuri technologia tumeidandia kwa mbele alafu hatutakikukubali kuwa tuko nyuma
 
Pita pita nimeona na voda wanasema wanayo

1e689b2930a0d405ea69812ea156a28a.jpg
 
Nina mashaka kama sio web Service ya kupata list ya malipo kama zilivyo mingine. Kwa nini hawaweki public?
 
BTW Tigo nimeulizia kwenye ile thread inaonekana sio developer API
 
Kama wanasoma hizi thread basi wajue nipo tayari kuwatengenezea robust API tena bure kabisa, na sio ya ovyo, itakua scalable, very secured na very lightweight kiasi kwamba developer ataweza kusubscribe kwenye account yake na kupata 24hrs update kila transaction mpya ikifanyika, kupitia website, mobile, au server to server communication in realtime, naweza tumia hata MQTT kuhakikisha kua ni lightweight na still all the messages zinamfikia mtu kwenye format anayotaka, language yoyote anayotumia na si lazima developers hata small business owners pia ambao wao wanataka kujua transactions zinazofanyika kwenye namba yao in realtime, watanilipa tu kuwatengenezea mobile version na website app, ila the entire API bure kabisa.
 
Jaribuni Kuipitia washaziweka download una test then Ukiwa ready ku roll out unawacheki

Tigo Pesa for Developers | Tigo Tanzania
 
Jaribuni Kuipitia washaziweka download una test then Ukiwa ready ku roll out unawacheki

Tigo Pesa for Developers | Tigo Tanzania

Nimeangalia documentation, naona it can work, japo wamemuachia kazi kubwa developer ila it can still work. Nitai~intergrate kwenye app very fast. Sasa wamebaki Vodacom na ndio wenye customer base kubwa.
Services kali sana zinakuja very soon Tanzania mwaka huu. One after another, support tu ya watanzania.
 
I have gone through the documentation and it looks very well done. Its better than safaricom's MPesa API because safaricom's uses SOAP. One thing i don't understand is why these guys keep on releasing API documentations in pdf/word format. Anyways, i have decided to re-write it in a much more developer friendly way. You can help if you're interested GitHub - zechtz/tigoPesa
Am going through it. I hope its better than SC SOAP. Did you check their documentation license? I see to get it it needs registration. just to make sure you are not in trouble!
 
Am going through it. I hope its better than SC SOAP. Did you check their documentation license? I see to get it it needs registration. just to make sure you are not in trouble!
I am not going to say its an official documentation, i am just doing it for me and anybody else who needs a better API documentation so, i don't see any problem. I wanted to start trying it out but the PDF version of it is just not very useful.
 
Back
Top Bottom