Tanzania tunahitaji mabadiliko!

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
503
Kwa muda mrefu nimeangalia kusikiliza na kushiriki mijadala anuai ya kuhusu mustakhabali wa nchi yetu and kugundua kuwa kuna unafiki na uhafidhina mkubwa katika maslahi ya nchi. Kimtazamo hadi sasa nafikiri hatuhitaji mabadiliko ya siasa ya nch bali inahitajika sisi wenyewe kila mmoja kubadilika kwanza binafsi then tutaweza kubalisha mtazamo na siasa ya nchi. Kwa mtindo huu wa sasa wa majukwaa kamwe hatutafika. Ni mtazamo wangu. Ninependa pia kupata mitazamo ya wanajamvi. Respect all!
 

Mshiiri

JF-Expert Member
Jun 16, 2008
2,012
503
Silence means we are not ready for real change but radical change that is not sustainable
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom