Tanzania tumezidisha usumbufu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tumezidisha usumbufu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Sep 16, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Ni lini google maps itaweka mipaka mipya?
  Tanzania tumezidi usumbufu. Hadi leo Kigoma haifikiki kwa lami, tena sio Kigoma tu ila pia Rukwa.
  Kama tumeshindwa kuendeleza mikoa 26 je tutawezaje kuendeleza na hiyo mikoa mingine mipya?
  Madaraka ni ulaji, na CCM inafanya hivi ili wale
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  wameongeza ili iwe fasheni yaani kila mkuu wa kaya anayeingia magogoni na yeye anaweka mikoa yake.

  na itabidi niombe kazi ya u-admin kwenye mkoa mpya wa Simiyu..
   
Loading...