Tanzania tumeshuka tena viwango FIFA

Tanzania tumeshuka tena viwango FIFA

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,704
Sasa ni nchi ya 132,siasa hatuwezi na mpira pia hatujui kucheza,tatizo ni nini?
 
Mdomo mwingi, kila mtu mjuaji, na ndo atupandi ng'ooooo
 
That is obviously manake hakuna Tanzania ilichofanya mpaka ipande
 
Hatujashinda mechi yoyote hv karibuni, mechi ya kirafiki tumetoka sare na botswana, ulitegemea nini?
 
tatizo ni kwamba sii watanzania niwafuatiliaji wa mpira sio wapenzi. wewe haiwezekani nchi zinapigana vita zinamaliza na kujipanga na kuja kutupita sie....simply we dnt have passion for the game.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom