Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,205
- 1,459
Habari wana JF, Jukwaa la Great Thinkers. Kama jina letu lilivyo (Great Thinkers) naamini kuna ma Think Tank wengi tu humu ndani.
Agenda kuu ya BANDIKO langu ni kuhusu "MUSTAKABALI WA NCHI YETU KWENYE EAC" hasa baada ya kumalizika kwa mkutano wa 17 wa wakuu wote wa nchi za EA jioni hii hapa Ngurudoto Arusha.
Naona watu tunapoteza muda kuongelea vitu very minor Kama lugha nk. Kuna useme unasema "Great mind discuss issues and small mind discuss people". Thank God Jukwaa letu ni la 'Great Mind' hivyo tuna discuss issues.
Hoja yangu ni waTZ tujiulize tumejipangaje?? Tunapoteza muda kwenye mambo ya kipumbavu halafu wa Kenya na Rwanda wakitoboa tunaanza makelele!!!!!
Hebu jiulize katika yote yaliyoongelewa tunaonaje nafasi ya nchi yetu hasa ktk kukuza uchumi??
Vipi wafanyabiashara wakubwa wamejipanga??
Tunategemea Mkt Mzee Mengi atakaa kikao na wafanya biashara watuambie TZ itatoboa??? Waziri husika nae na wabunge wetu waje watuambie jinsi tutakavyotoboa. Waje na solutions sio kulia lia!!! Sifa ya mwanaume ni kupambana!! "winners never quit".
Ni wakati wa makampuni mapya ikiwezekana na hayo ya zamani kuangalia utaratibu wa kupanua mitaji kwa kuuza share ili tupambane vizuri na wenzetu.
Vipi watanzania mmoja mmoja tumejipangaje???? Mfano kwenye soko la ajira, biashara ndogo ndogo nk
Karibuni tuchangie sio tunapoteza muda wakati wenzetu wanaongeza kasi baadae tunaanza ulalamishi!!! TUBADILIKE WATZ NA TUJIFUNZE KUUKOMBOA WAKATI "time is money"