jaruri
JF-Expert Member
- Jul 16, 2014
- 717
- 459
Ni ukweli usio hitaji Elimu ya CHUO kikuu kuuelewa ,,hata ukitumia akili za kuvalia nguo tu unaweza tambua aina ya uongozi wa Rais wetu mpendwa JPM,,Baba wa taifa aliwahi sema tunahitaji kiongozi ambae hata ukimwangalia usoni unagundua kuwa anamaanisha anachokiongea,,kwa JPM hilo linajidhihirisha wazi kwa ahadi alizotoa kwenye ilani ya chama chetu pendwa CCM anazikeleza kwa vitendo mwenye macho haambiwi tazama ,,Hata hivyo nikinukuu mfano wa dreva wa lori ambae amebeba watu ndani ya lori hawapangii namna ya kusimama ndani ya lori wengine huangalia nyuma,mbele na hata ubavuni na wengine wanaweza kuwa wanaimba ndani ya lori,,,dereva wa lori anapaswa kutazama mbele na kutokuyumbishwa na orientation na kelele za abiria wake na ndo anakifanya JPM
Long live JPM
Long live JPM