Tanzania tuige mfano wa chile | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tuige mfano wa chile

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Brandon, Oct 14, 2010.

 1. B

  Brandon JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hatimaye all the miners have been rescued. ilikua kama vile action movie,ucku kucha nimeangalia. hawa jamaa wameni inspire sanaa kuanzia rais wao hadi waokoaji na watu wote kwa ujumla.sikuweza jizuia machozi.

  kitu kama hiki kingetokea hapa kwetu ni wazi kuwa kaburi lao lingekua ni hilo hilo. sidhan kama ingekua ni hapa rais na mkewe wangekua mstari wa mbele kuhamasisha zoezi zima kwa kukesha mgodini. jamani hebu viongozi wetu tuone kama hii ni changamoto kwetu na tuache kungangania tu madaraka na viti ofisini na kuacha watu wanapoteza maisha bila msaada wowote.

  TUJIFUNZE KUTOKA CHILE.

  VIVA CHILE.......
   
 2. Mfikiri

  Mfikiri JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 592
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  du.. nimesimuliwa sikuweza kuiona hiyo action... ila sidhani kama serikali yetu inaweza kufanya vitu kama hivyo. hongera chile...
   
 3. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #3
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haiwezekani kama tuna raisi na uongozi wa Kisanii....kila kitu sisi ni mizaha tu!

  Mwingine anasema ataleta mvua za kutengenezwa- Thailand, Mwingine Bajaj, mwingine Kigoma itakuwa Dubai....tunalaana sisi!
   
 4. K

  King kingo JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hiyo haiwezekani hapa wenzetu wana determination hapa kila mara tunasikia watu wamefukiwa kwenye migodi lakini juhudi za kuwaokoa 0, nakwambia hao wangekuwa Bongo wangezikwa humo humo hamna mtu angehangaika nao.
   
 5. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2010
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  well,hata TANZANIA kwa msaada wa nje hawa watu wangeokolewa,swala la kujiuliza ni chile wametumia muda mrefu au mfupi kuwaokoa hawa watu? je ingekuwa USA au UK hawa watu si wangeokolewa in not more then 10 days.
   
 6. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #6
  Oct 14, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania kuna usanii sana hata kwenye mambo ya Msingi! All in all Chile wameonyesha wanaweza kumbuka raisi na mkewe wamekuwepo muda wote wa operation rescue hadi watu wote waliokwisha. Mkwere angekuwa anasuburi kwenda kuuza sura kwenye Mazishi
   
 7. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Kawni wakuu hamkumbuki yule mtoto aliye tumbukia kwenye bwawa karibu na Mlimani University?, Kikosi cha uokoaji cha kikwete, sio kwamba kiliweza kumuokoa huyo mtoto, kilishindwa hata kuata maiti yake! vijana wenzao ndo walizama na kupata maiti hiyo.

  HAYO YOTE YAWEZEKANA WATANZANIA TUKIAMUA KWA PAMOJA KUBADILISHA UONGOZI WA SASA 31/10/2010. NA TWAWEZA FANANA NA CHILE!
   
Loading...