Tanzania tuigawe kama vipi

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
kwa haya yanayotokea ni kwamba watu wa northern Tanzania hadi Mbeya huko na Iringa washafumbuka machO na hawataki tena kuibiwa na kudharauliwa kama watumwa ila watu wa pwani naona wameridhika kabisa ukianzia mtwara lindi na wapi huko sijui kisarawe .
my take: tugawane nchi kama vipi na kura tupige kama sudan
 
Ingekua kazi maana hatuwezi kuigawa katikati!Taratibu tu na wao wataanza kuamka!
 
Ishu hapa si kuigawa ila kwenye katiba mpya tuingize utawala wa majimbo na serikali kuu iwe ni kama mwangalizi na mshauri mkuu tu.mfano wa u.s.a,nigeria na kadhalika.yaani arusha,kilimanjaro,manyara liitwe jimbo la kilimanjaro au ngorongoro.na wawe na raisi wao(governer) then kodi tukikusanya 60% inabaki kwa serikali ya jimbo husika kwa shughuli za maendeleo then 40% inakwenda kwa serikali kuu kwa shughuli za uendeshaji.ikiwa hivyo sio ccm wala polisi wataleta ungemse.vile vile hao wa pwani nao waunde jimbo lao la pwani na ndugu zangu wa kanda ya ziwa waje na lake zone province.sasa watakaokubali kuendelea kuzinguliwa na hawa wapuuzi mafisadi waonje joto ya jiwe kimpango wao.wajanja huku juu tushasanuka long na kudadadadekii sa ivi mpaka kieleweke.sa we watu hawakutaki unatung`ang`ania kwa nguvu.shame on chama cha mafisadi.
 
hili nalo neno mkuu ila hii kitu nakumbuka bowe ashawahi kuidokeza watu wakampinga kinoma..
 
Back
Top Bottom