Tanzania tops EAC members in peace | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania tops EAC members in peace

Discussion in 'International Forum' started by Michael Paul, May 26, 2011.

 1. Michael Paul

  Michael Paul Verified User

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 380
  Likes Received: 239
  Trophy Points: 60
  Tanzania tops EAC members in peace  [​IMG]
  TANZANIA is the most peaceful country among the five members of the East African Community (EAC), according to the 2011 Global Peace Index (GPI).

  According to the index announced on Wednesday, Tanzania ranks 8th as the peaceful state out of 37 countries in Africa.

  Botswana tops the countries in Africa, followed by Malawi, Ghana, Mozambique, Burkina Faso, Zambia and Namibia.

  Tanzania is followed by far by Uganda which

  holds the 18th place in Africa, Rwanda (21st), Kenya (25th) and Burundi (31st).

  According to the index, there has been a slight decrease in peacefulness in Tanzania, a trend attributed to increased cases of murder.

  However, the report says, this is offset by an increase in respect for human rights.

  Globally Tanzania ranks 56th followed by Uganda (97th), Rwanda (99th), Kenya (111th) and Burundi (132nd).

  Generally the index shows that the world has become less peaceful for the third straight year mentioning the threat of terrorist attacks and the likelihood of violent demonstrations as the two leading factors.

  It says increased risk of terrorism and unrest in the Middle East and North Africa drove dramatic changes in national rankings. The economic cost of this to the global economy, it says was 8.12 trillion dollars in 2010.

  It says if the world had been 25 per cent more peaceful over the past year the global economy would have reaped an additional economic benefit of just over US$2 trillion.

  This amount would pay for the two per cent of global GDP per annum investment estimated by the Stern Review to avoid the worst effects of climate change and cover the cost of achieving the Millennium Development Goals.

  It would have also helped to eliminate the public debt of Greece, Portugal and Ireland and address the one-off rebuilding costs of the most expensive natural disaster in history -- the 2011 Japanese earthquake and tsunami.


  Sub-Saharan Africa remains the region least at peace, containing 40 per cent of the world's least peaceful countries, Sudan (151) and Somalia (153) at the bottom of the Index.

  Iceland is the world's most peaceful nation, followed by New Zealand, Japan, Denmark and the Czech Republic. Iraq (152) moved from the bottom of the Index for the first time ever.

  For the fifth consecutive year, Western Europe is the most peaceful region with the majority of countries ranking in the top 20.

  Four Nordic countries are ranked in the top ten; however, Sweden drops to number 13 because of its arms-manufacturing industry and the volume of exports of conventional weapons.

  Joining the European Union has had a positive impact on the relevant members of Central and Eastern Europe with the Czech Republic moving into the top ten (5th place) for the first time and Slovenia rising to 10th position.

  The index produced by the UK Institute for Economic and Peace is the world's only ranking of nations according to their states of peace. It uses 23 separate indicators to gauge ongoing domestic and international conflict, safety and security in society and militarization in 153 countries.  Source: Daily News
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,381
  Likes Received: 3,341
  Trophy Points: 280
  Bora kuwa wa 25 kama Kenya kuliko kuwa na amani ya kimagirini kama ya bongo!
   
 3. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  sijui hiyo amani wanayoiongelea ni ipi? watu wanahasira nawaeleza sema tu siyo explosive kwani kuna magumu mengi yanaendea bongo na bado watu wametulia wakiugulia pabaya, iko siku kutachimbia ndo njue hakuna amani bongo!
   
 4. n

  nomasana JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2011
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 60
  i admire TZ for the peace it enjoys. everything seems to be in a calm state. contrast that with kenya where everything seems to be one step away from chaos
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,159
  Trophy Points: 280
  Na hiyo amani yetu ndio cdm wanayotaka kuivuruga. Mtu akishasema Tanzania "haitotawalika" eti kwa sababu kakosa kura, ana maanisha nini? Na anapojinadi kuwa yeye ni "mpiganaji"? Jibu ni rahisi sana, ana maanisha uvunjaji wa amani.
   
 6. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,086
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  Only shallow minded people would think there is peace in Tanzania.

   
 7. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,086
  Likes Received: 1,125
  Trophy Points: 280
  I thought you know better than that, I'd prefer a Kenyan version of peace than this oxymoron sh*t we got in Tanzania
   
 8. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #8
  Nov 20, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  :first::lalala::hurt:
   
 9. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Thats why wanatuibia kila kukicha.
   
 10. N

  Nonda JF-Expert Member

  #10
  Nov 20, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,960
  Trophy Points: 280
  Amani ipo Tanzania lakini inaonekana hiyo hali inabadilika kuelekea machafuko. Inawezekana ni tabia ya watanzania au inatokana na nidhamu ya woga. Kuna viashiria kuwa amani hii inaanza kumong'onyeka kidogo kidogo. Pia kuna dalili za machafuko kuinyemelea TZ.

  Vitu viwili vinachangia kuelekea huko
  1. CCM kuona Tz ni mali binafsi ya CCM na sio ya watanzania
  2. Kushindwa kwa vyama vya upinzani na asasi za kiraia kuwa na sauti moja na njia mbadala iliyo wazi badala yake vinaongozwa kwa jazba zaidi.

  Haya makundi mawili yanapasa kutumia lugha ya ushawishi ambayo inasisitiza Tanzania ni mali ya kila mtanzania.

  Kama tumeichoka amani, tujaribu ya Ivory Coast, Libya, Misri....tukifungua malango wa fujo, kutokana na CCM kuwa madarakani kwa miaka mingi, zaidi ya 34...40 kuna uwezekano hali ikajitokeza kama ya Libya.

  Bado muda wa kuepusha machaafuko upo na jukumu kubwa liko kwa CCM. CCM ikukubali kuwa kuona upinzani ni uadui, dhana hii imepitwa na wakati.

  Kwa watetezi na wapenzi wa CCM, wafikishieni ujumbe viongozi wenu ambao pia ndio viongozi wa serikali kuwa ni vyema kuwaalika viongozi wa vyama vya upinzani kwa pamoja na viongozi wa asasi muhimu za kiraia ili kuanza mazungumzo yatakayoweka njia muafaka wa kuinusuru Tz kufikia "hapatatosha au hapatakalika".

  Kwa wapenzi wa vyama vya upinzani, washaurini viongozi wenu waepuke kauli za kupandisha mori wafuasi wao na badala yake waikaribishe CCM katika njia ya amani na mpito kuelekea Tanzania ya watanzania na sio Tanzania ya wanachama wa chama cha siasa. Upinzani ekeni bayana mbadala wa sheria au sera ili wananchi wajionee bila jazba tofauti iliyopo baina ya upinzani na CCM.

  CCM ikikataa mpito kwa njia ya amani itabeba jukumu lote la yatakayotokea. CCM imeshika usukani si vyema baada ya miaka 34 kusababisha ajali kutokana na ulevi wa madaraka pamoja na kutumia vyombo vya dola kung'ang'ania madaraka. Ujanja mwingi,mbele giza nene!
   
 11. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #11
  Nov 21, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,933
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Congrats My Beloved Tanzania.............Hali itakuwa Bora Zaidi iwapo CCM watabakia kwenye vitabu vya Historia ya Tanzania tu.....
   
 12. eliakeem

  eliakeem JF-Expert Member

  #12
  Nov 21, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 2,933
  Likes Received: 1,034
  Trophy Points: 280
  Kwa mimi binafsi..... naona chanzo cha uvunjifu wa amani ni mfumo wa uongozi wa nchi yetu...... Hautoi majibu ya kuridhisha ya maswali/kero za msingi za wananchi.......Hapa nasemea CCM....... hawa wameshindwa kutatua mambo mengi ya msingi..... Na pia wameshindwa kuwashughulikia wabadhilifu wa mali ya umma....... badala yake wanawalinda..... Mfano mdogo ni Jairo.....kama ulifuatilia mjadala wa Bunge wa Jmosi utakubaliana nami....Chief Secretary anamlinda.....
  Nadhani tukiwa na mfumo mbadala unaweza kujibu kero za watu wetu kivitendo......

  Kwa mtu awaye yote ambaye anautetea mfumo uliopo wa uongozi....... basi ananufaika na mfumo huu.... ana masilahi binafsi na mfumo huu........


   
Loading...