Tanzania to test new rail in May

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,187
79,388
  • The first deadline was missed when the drilling works for a tunnel near Morogoro, building of bridges and placement of culverts were paralysed by heavy rains.
  • It covers 300 kilometres from Dar es Salaam to Morogoro, and is 72 per cent complete.
  • It will have six main stations at Dar es Salaam, Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere and Morogoro, with the Dar es Salaam and Morogoro stations being the largest.

EMMANUEL ONYANGO

Tanzania’s standard gauge railway (SGR) will undergo its first formal testing in May, after the completion of the construction of the first phase in April.

Speaking to The EastAfrican in Dar es Salaam this week, SGR project manager Machibya Masanja said construction is going on around the clock to meet the April deadline.

He said test runs will be held over three months before the railway’s official inauguration, which will allow goods and passenger services to commence.

The first phase covers 300 kilometres from Dar es Salaam to Morogoro, and is 72 per cent complete.
It was initially scheduled to be ready last November, but heavy rains disrupted the works. The meteorological department has issued a warning of heavy rainfall expected in March and April.

The first deadline was missed when the drilling works for a tunnel near Morogoro, building of bridges and placement of culverts were paralysed by heavy rains.

The first phase will have six main stations at Dar es Salaam, Pugu, Soga, Ruvu, Ngerengere and Morogoro, with the Dar es Salaam and Morogoro stations being the largest.

Mr Masanja said construction works on the second phase of the project, covering 422 kilometres from Morogoro to Makutupora in Dodoma, started four months ago and 20 per cent of the work is done.

Contractors Yapi Merkezi of Turkey and Mota-Engil Africa of Portugal are jointly handling the first and second phases of the project, but separate tenders will be floated for the three remaining phases of Makutupora-Tabora (294km), Tabora-Isaka (133km) and Isaka-Mwanza (248km).

The 1,457km-long SGR project is estimated to cost $7.5 billion, with $600 million spent so far.
In December, Tanzania Railway Corporation director general Masanja Kadogosa said the railway will be extended to Rwanda and Burundi.

=============

MY TAKE

2 phases r currently ongoing and a simple math this two sections need separate payment and every budget since 2016/217 at least 500mln has been set aside for these 2 projects! We had 2016/2017 then 2017/2018 then 2018/2019 then current budget 2019/2020! At simple assumptions, btn 1 bln n $1.5 bln should have been spent considering the fact phase I is 72% ready while phase II is 20% ready aside the fact the locomotives have been ordered already! Huu upumbavu wa media za Kenya utaisha lini? keep boiling with discontent as at least 2 more phases r to be launched in the first half of 2020!
 
FACT: 99.9% ya wakenya hawajui kwamba kuna reli ambayo inajengwa Tanzania. Watu wapo busy na masuala ya Kenya na maisha yao. Kama kuna mtu anabisha afike pale Namanga boda aanze kuuliza mkenya mmoja baada ya mwingine.
 
Hahahaha, labda mtu toka Kibera ndio hajui kuhusu SGR ya Tanzania, viongozi wenu kila siku wanashikana mashati wakijiuliza kwanini Tanzania wanajenga SGR ya UMEME bila mkopo, wanajiuliza imekuaje Rwanda wameamua kuachana na reli ya Kenya na kukimbilia Tanzania, au hata hilo la Rwanda kuachana na mpango wa kuunganisha reli na Kenya kama mlivyokubalia kipindi cha CoW pia hakuna anayejua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu samahani naomba kuuliza hivi cow iliishia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poleni waswahili tunajua mzee trump anazidi kuwapiga pini mazee... Inaaumaa dah
 
Kwamba kuna reli inajengwa Huko kwa Mawe???Poleni it's just that Tanzania is not even in the periphery of our thoughts
 
FACT: 99.9% ya wakenya hawajui kwamba kuna reli ambayo inajengwa Tanzania. Watu wapo busy na masuala ya Kenya na maisha yao. Kama kuna mtu anabisha afike pale Namanga boda aanze kuuliza mkenya mmoja baada ya mwingine.
Hivi kwa majigambo eti kenya wapo "informed" sijui internet kote kote..Tena hawajui H.E Dr. John Joseph Pombe Magufuli anajenga RELI ya 21st Century hapa EAC?
Ukweli ni kwamba ukienda Youtube kwa account ya TRC Reli Tv, wanao comment sana ni wakenya, tena hawachelewi video mpya ikiwekwa hapo
 
Hiyo Reli Tv naisikia kutoka kwako, kumbe reli mnaijenga youtube? :D Huwa napata wakati mgumu sana kuwaeleza wakenya wenzangu chochote kuhusu Tz. Kwanza wanahabari wenu ni wale mazero brain tena ambao hata kuandika habari zozote kuhusu nchi yao wanaogopa. Habari za kusifia sifia, tena siasa boring huwa haziwasisimui wakenya. Waambie kuhusu Bobi Wine na M7 au Kiiza Besigye, vitu kama hivyo ndio wakenya wanavifahamu vizuri. Hadi media za Kenya zimelazimika kuvuka boda mara kibao, ili zikawahoji hao waganda mashuhuri.
 
wewe huyo unayeshinda uki-jibu posts za clips za hii thread Cost comparison SGR Kenya vs SGR Tanzania
 
Kwahivyo hata mimi pia sijui kuhusu SGR ya Tz au ndio unamaanisha nini? Nakumbuka mmoja wa viongozi wenu alipotumia picha za SGR ya Kenya kusifia Jiwe, haikuwa big deal hata hapa kwenye jukwaa hili. Ulisikia wakenya wakisema wameibiwa?
DxYH0X3XcAIgZnT.jpg
How many times mme-claim Nyerere bridge ama news za Kisumu port zinaweka picha ya meli ya Tanzania? Hata juzi kati hapa mmedai Samatta mkenya!
 
Kwahivyo hata mimi pia sijui kuhusu SGR ya Tz au ndio unamaanisha nini? Nakumbuka mmoja wa viongozi wenu alipotumia picha za SGR ya Kenya kusifia Jiwe, haikuwa big deal hata hapa kwenye jukwaa hili. Ulisikia wakenya wakisema wameibiwa?
DxYH0X3XcAIgZnT.jpg
Katika mambo yanayowakosesha furaha wakenya kwa sasa ni mambo makuu 4
1)Uganda kukataa kupitisha bomba Kenya
2)Rwanda kuachana na mpango wa kuunganisha reli na Kenya
3)Tanzania kujenga reli ya umeme bila kukopa
4)Kasi ya uongozi ya Magufuli.
Ninadhani zaidi ya 95% ya wakenya wenye akili lazima haha mambo yanawaumiza vichwa Sana, ninarudia kwa sauti, 95% ya wakenya wenye skill.
 
Wapumbavu sana nyinyi, mnajifanya wataalamu wa masuala ya Kenya mkiwa huko huko kwenu Manzese? Wakenya hawana muda na huo upuuzi ambao mnataka kulazimisha na wale ambao wanajua don't give a sh#t about you. Pambaneni na hali zenu. Hili povu lote ni kwasababu mwanahabari mmoja amesema kwamba mmetumia $600million kufikia sasa wakati mlitaka aseme $1.5billion? Wapi info rasmi kutoka kwa serikali yenu ya kidikteta na ya kisiri siri ambayo ina'support' madai yenu? Sijui nyinyi ni wanaume wa sampuli gani, yaani mpo petty zaidi ya kina mama sokoni. Geza Ulole naelewa kwamba umbea ni urithi wenu nyinyi wanaume wa kizaramo ila grow up mzee before its too late.
 
Back
Top Bottom