Tanzania teachers professional board act

Asango

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
234
Reaction score
25
Habari wa wana jf,
Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya siri vinafanyika ili kuanzisha bodi hyo.Na uanzishwaji wa TTPB umeigwa Nigeria.
Kikubwa hapa Bodi hii ni nzuri itasaidia waalimu lakini makato yake ni makubwa. Pia chombo hk inasimamia masuala ya discipline ambayo husimamiwa na TSD.
Na kama mpango huu ukipita basi chama cha waalimu hakina umuhimu lakini bado kuna mpango wa kuwepo vyombo hv viwili ambapo ni mzigo kwa kwa walimu.
Je wadau mna maoni gani juu ya hili?
 
Umefuatilia bunge leo wkt bajet ya elimu inajadiliwa? Mwenyekiti wa kamati ya kudumu Magreth Sitta alikuwa anadai nini? Ndio hicho unachoeleza kuundwa au?
 
mkuu haya mliyoandika yametimia tayari.suala lipo jikoni tayari na muswada ushawekwa mezani.ni suala la muda tu
 
mkuu haya mliyoandika yametimia tayari.suala lipo jikoni tayari na muswada ushawekwa mezani.ni suala la muda tu
 
Habari wa wana jf,
Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya siri vinafanyika ili kuanzisha bodi hyo.Na uanzishwaji wa TTPB umeigwa Nigeria.
Kikubwa hapa Bodi hii ni nzuri itasaidia waalimu lakini makato yake ni makubwa. Pia chombo hk inasimamia masuala ya discipline ambayo husimamiwa na TSD.
Na kama mpango huu ukipita basi chama cha waalimu hakina umuhimu lakini bado kuna mpango wa kuwepo vyombo hv viwili ambapo ni mzigo kwa kwa walimu.
Je wadau mna maoni gani juu ya hili?

Hii nayo kazi nyingine

Yaani wamtoe mwalimu upepo halafu wautumie kumminyia mwenyewe
 
Habari wa wana jf,
Nimejitokeza hapa kwa mara nyngne maana kuna kipindi nilikuja hapa na hoja kwamba kuna mpango wa kuanzishwa kwa bodi ya kusimamia utaalamu wa walimu na vikao vya siri vinafanyika ili kuanzisha bodi hyo.Na uanzishwaji wa TTPB umeigwa Nigeria.
Kikubwa hapa Bodi hii ni nzuri itasaidia waalimu lakini makato yake ni makubwa. Pia chombo hk inasimamia masuala ya discipline ambayo husimamiwa na TSD.
Na kama mpango huu ukipita basi chama cha waalimu hakina umuhimu lakini bado kuna mpango wa kuwepo vyombo hv viwili ambapo ni mzigo kwa kwa walimu.
Je wadau mna maoni gani juu ya hili?
Du JF kila kitu kipo.
 
Tatizo Watz tunaogopa hata visivyoogopeka hata kama ni vya neema kwa walengwa!

Watu wanaogopa uwepo wa Bodi, lakini hata hawajui umuhimu wake!

Hivi zile Bodi za Wafamasia, Bodi za Wakandaradi, na Bodi nyingine za kitaaluma kama Uhasibu wao nao wanalia ubaya wa uwepo wao?

Tujifunze kujifunza kitu kipya si kulia lia kama yule mwanamke kahaba kwenye Biblia!
 
Kwanini usiweke umuhimu wa hiyo bodi hapa ili watu waujue kuliko kurusha vijembe na kujifanya mjuaji!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom