Mi nadhani pamoja na kuwa wamesitisha, sababu kuu ikiwa ukosefu wa sheria na miongozo, bado hao makabaila wenye kutaka zaidi ardhi watakuja na kuinluence hiyo miongozo na hadi hapo itakapotoka tutakuwa hatuna cha kujitetea tena,
Ni kama tumejielekezea bunduki sisi wenyewe!