Mpumbavu wewe yale majigambo yenu ya Aggressiveness yapo wapi? Mkishindwa mnakimbilia hujuma!Stupidity. Serikali ya Tanzania haina kazi?
Kila mwanasiasa anayesimama kuongea lazima mmepe jibu?
Cha ukweli ni kwamba Tanzania ndio imejaa xenophobia, na hili sio jambo la wanasiasa tu. Ni government policy.
Sasa hivi mnataka kuipa Kenya kidole cha lawama, ili mkiulizwa kwa nini mnawatendea Wakenya vibaya huko, mseme kwamba Watanzania wanatendewa vivyo hivyo hapa Kenya.
Msidhani hatuelewi reverse psychology.
Lakini serikali ya Kenya haina utoto kama inayoongozwa na supremo makufuli.
Hii ndio statement ya GOK leo.
View attachment 1138569
Kamwe usimuamini mkenya yoyote hapa duniani, watu ambao waliwasaliti waafrica kipindi cha ukoloni na kuamua kuwaunga mkono wazungu ambao waliwadhalilisha na kuwanyonga wakenya wengi wakati wa vita vya mau mau, sio watu wa kuwaamini.Mpumbavu wewe yale majigambo yenu ya Aggressiveness yapo wapi? Mkishindwa mnakimbilia hujuma!
Nafikiri una matatizo ya kusahau unachokiandika kila baada ya aya moja.Stupidity. Serikali ya Tanzania haina kazi?
Kila mwanasiasa anayesimama kuongea lazima mmepe jibu?
Cha ukweli ni kwamba Tanzania ndio imejaa xenophobia, na hili sio jambo la wanasiasa tu. Ni government policy.
Sasa hivi mnataka kuipa Kenya kidole cha lawama, ili mkiulizwa kwa nini mnawatendea Wakenya vibaya huko, mseme kwamba Watanzania wanatendewa vivyo hivyo hapa Kenya.
Msidhani hatuelewi reverse psychology.
Lakini serikali ya Kenya haina utoto kama inayoongozwa na supremo makufuli.
Hii ndio statement ya GOK leo.
View attachment 1138569
Mpumbavu wewe yale majigambo yenu ya Aggressiveness yapo wapi? Mkishindwa mnakimbilia hujuma!
Hahahahaha, umesahau kampeni ya " play Kenyan music"?. Ninyi ndivyo mlivyo, mkishindwa mnatafuta hujuma. Hivi haya anayosema Jaguar na "Play Kenyan music', kuna tofauti gani?. Ila msijaribu kumgusa mtanzania hata mmoja, mtatafutana hapo Nairobi, sisi ni zaidi ya Alshabab, tutawacharaza viboko ndani ya Nairobi.Hayo ni maneno ya mwanasiasa mmoja.
Wakenya kwa biashara hatulii. Especially hatuwezi lia ambapo competitor ni Watanzania..
Kwa sababu hapo pako na zero competition.
Mlikuwa wapi wakombozi wa africa wakati wakenya walikuwa wananyongwa watu wa historiaKamwe usimuamini mkenya yoyote hapa duniani, watu ambao waliwasaliti waafrica kipindi cha ukoloni na kuamua kuwaunga mkono wazungu ambao waliwadhalilisha na kuwanyonga wakenya wengi wakati wa vita vya mau mau, sio watu wa kuwaamini.
Tulikua kusini mwa Africa.Mlikuwa wapi wakombozi wa africa wakati wakenya walikuwa wananyongwa watu wa historia
Tundu lissu tu kawashinda...Hahahahaha, umesahau kampeni ya " play Kenyan music"?. Ninyi ndivyo mlivyo, mkishindwa mnatafuta hujuma. Hivi haya anayosema Jaguar na "Play Kenyan music', kuna tofauti gani?. Ila msijaribu kumgusa mtanzania hata mmoja, mtatafutana hapo Nairobi, sisi ni zaidi ya Alshabab, tutawacharaza viboko ndani ya Nairobi.
Mashariki mlimuachia naniTulikua kusini mwa Africa.
Usibadilishe topic, ninyi ni watu wa hovyo sana na roho mbaya, mnataka ninyi tu ndio mpate. Hakuna wa kuwaamini, tubaki kusalimiana kwa mbali, inatosha.Tundu lissu tu kawashinda...
Sisi ndugu zetu ni kusini, sio masharikiMashariki mlimuachia nani
Why the contradictory statements from you? Online Xenophobic attacks against Kenyans sababu tu ya wivu? You are very thick, wewe na wale washenzi wa Xenophobic attacks against Africans in South Africa mko tu sawa ni vile hujapata nafasi ya kushika rungu au panga.Kamwe usimuamini mkenya yoyote hapa duniani, watu ambao waliwasaliti waafrica kipindi cha ukoloni na kuamua kuwaunga mkono wazungu ambao waliwadhalilisha na kuwanyonga wakenya wengi wakati wa vita vya mau mau, sio watu wa kuwaamini.
Sasa si nynyi ni mambo mbaya kw kusambaratisha...ndio muanze na hyo kwanza aliye washinda kumpoteza ndio mje kenya...imekuumaUsibadilishe topic, ninyi ni watu wa hovyo sana na roho mbaya, mnataka ninyi tu ndio mpate. Hakuna wa kuwaamini, tubaki kusalimiana kwa mbali, inatosha.
Wale wanaowaita nyinyi makwerekwere??? Kweli ujinga ni utumwa...SI ni juzi tu wameua Mtanzania, ushawahisikia mtzee ameauawa Kenya kwa Chuki?Sisi ndugu zetu ni kusini, sio mashariki
Undugu wa kuuwana....santa sana...Sisi ndugu zetu ni kusini, sio mashariki
Ona ndugu zao hao walivyowafanyiaWhy the contradictory statements from you? Online Xenophobic attacks against Kenyans sababu tu ya wivu? You are very thick, wewe na wale washenzi wa Xenophobic attacks against Africans in South Africa mko tu sawa ni vile hujapata nafasi ya kushika rungu au panga.