Tanzania sio mali ya Magufuli

Tanzania sio mali ya Magufuli

Hata Grace Mugabe alsema hivyo hivyo ila leo kaonekaka atatafuta taxi China mwezi ulipita alikuwa anaunusa urais
Picha nitakuwekea
Tanzania sio Zimbabwe ndio maana ni nchi tofauti zenye majina tofauti. Grace Mugabe alichochemka ni kutoheshimu wapigania Uhuru wa Zimbabwe akina munangagwa wakati yeye familia yake wala wazazi wake hawakupigania Uhuru wa Zimbabwe ndio maana jeshi LA Zimbabwe likampiga mateke grace Mugabe na hawara yake Mugabe.Jeshi LA Zimbabwe limerudisha kuwakabidhi waliopigania Uhuru wa Zimbabwe akina munangagwa sio akina grace Mugabe ambaye hata vita ya kupigania Uhuru ya chimulenga hajui ni kitu gani.Grace Mugabe ni bull shit don't refer her here ni malaya tu wa Zimbabwe
 
Unaposema magufuli akiondoka, kwenda wapi? Amekwambia anaplan ya kuondoka?
Kuna watu walishalemazwa Lumumba kiasi hata kuweka kauli sawa tu ni haramu!!! Lumumba inamuona mtu huyu kama ndiyo kila kitu?! Ahh huku ni zaidi ya kujikomba aiisseeeeh
 
Kwani unadhani wao hawana akili? Wanajuw jamaa anzvyopenda sifa. Alafu kweny uchaguzi uliopita 2015 kama unakumbukumbu uliwahi kuona kofia au nguo imeandikwa chagua ccm!!! Yey anadhani asingekuw yey ccm isingepita. Ndo hayo unuyoyaona mkuu. Yey anajuw kuw kila kitu ni mwenyew. Hapangiwi.
 
Wote wanamuogopa kasoro mama Samia. sasa mtamsaidiaje kama mnaogopa ogopa hata kumwambia Mzee hapa umeenda siko, kimyaa!!

Juzi jamaa mmoja anaomba msamaha eti kisa CDM imeshinda udiwani kwenye eneo lake la uongozi. Jamani hilo nalo ni kosa kwa mtendaji wa umma? kama si kosa sasa msamaha unaombwa ili iweje?

Haya, ngoja tuone!
 
Katiba ya warioba utaisubiri sana tena sana hakuna kitu kama hicho uko kwenye safari ya lowasa ya matumaini hewa
Kama mnapendwa na mnajiamini Kwanini hamkubali taasisi na vitu vinavyotoa haki kwa wote eg katiba, tume huru nk. ?!!!
 
wengine wanakufuru badala ya kufanya kazi kwa utaratibu na kanuni wanasema nafanya kazi ya magufuli wakati kazi unafanya we we hamjiamini hususani viongozi wakubwa
 
CCM itang'oka kama Mugabe, siku zinahesabika
Ukiwa na mawazo ya kipuuzi kama haya hutaona jema aslani katika maisha yako yote.! Huenda hata wajukuu zako wakaikuta Ccm madarakani kama mawazo ya upinzani wote yanafanana na ya kwako.
 
Viwavi wa Lumumba hapa wamejaa balaa wanachokitetea hata mtoto wa kindergarten ataona aibu
 
Sasa kama yeye kayasimamia kwa vitendo kwa nini hizo kauli zisisemwe katika hali ambayo wewe huipendi.Hebu badili ulitakaka zisemweje kwa mfano .Serikali hii haitaki mambo ya rushwa,hela ya magufuli ya moto.
 
Yaani miaka inavyoendelea mbele, tunakuwa na viongozi waoga, mazuzu wenye kujipendekeza kwa kila kitu.
Kila agakalosema lazima ataje jina la Rais....
 
Kwanini wateule wengi wa rais wakitoa maagizo au kukemea jambo hasa rushwa wanasema "serikali ya Magufuli haitaki wizi" au " wizi sio wakati wake huu" au "pesa ya Magufuli hailiwi" au "pesa ya serikali ya awamu ya tano ni ya moto", na maneno mengine yanayofanana
Hiki ndio kimekufanya ufungue thread
Ulisoma kweli lugha ya kiswahili,vivumishi,tasdifa na ngeli kidato cha pili?
Ni kweli Magufuli anaongoza SJMT na sio Mbowe,na hata chadema wangepata serikali ungesikia tu serikali ya chadema
Jifunze kufumbia macho mambo madogo,utapata kisukari bure
 
Back
Top Bottom