Tanzania should send a 50 strong team to Haiti

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,740
Likes
7,521
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,740 7,521 280
Well.. you must think it is a bad idea; you might think, we have our own problems why should we? you might even ridicule the idea as "overly ambitious" and "unnecessary". Others might even consider the thought of sending a team to Haiti in some kind of a relief mission to incredibly wasteful and not a welcome idea.

For a while I have been thinking of using an opportunity brought by a natural disaster somewhere else in the world as a learning tool to prepare ourselves by training our own people for disaster preparation and management. It'll help us understanding practically the whole concept of search and rescue, search and recovery and disaster management, operations and rebuilding.

I believe this is one of those moments. Remember that in late December last year an earthquake hit around the faulty lines of Lake Nyasa and its tremors felt up to Mbeya Town (over 80 miles away).. imagine if it had hit in Mwanjelwa or Mbeya town center! would we have been prepared!? (somebody might say.. unatuchuria, this will never happen to Tanzania because we have peace, harmony and unity!)!

The team should consists of:

a: Medical Doctors
b. Military Engineers
c. Nurses and Medical Assistants
d. Security Officers - Police and Military
e. Translators (French).

Why?

a. To give our own people much needed experience, knowledge and understanding of operating a major relief effort that will help us when the "hour of our need" comes.

b. When the group returns to Tanzania, it should brief the national leadership about its experience and how as a nation can prepare for a major natural or man made disaster. From the group we should be able to constitute emergency preparedness program. Call me nut but I like preparation better and suprises!

c. We will show the world that from our own poverty and national challenges we can still help. People should bear in mind that US is helping in Haiti while international its fighting two unpopular wars, the economy is in recession and internally there are more Americans in desperate conditions than at any other time in their recent history. Why does America in the midst of these challenges still raises to help a country that has no any major national interests to the US?

I believe we too in the midst of our own challenges and incredible realities can and indeed must help the Haitian in this our of darkness!

Who should finance?
I know the most quick reaction to this proposal will be "we don't have money, unless the UN or the US should reimburse us, we will not be able to do this".

I believe we have the means to carry this mission of Help from the Tanzanian People. Something like TZAID. I believe if the President and the Cabinet would sit down and ask the question "how we can help" you'll be amazed at how much resources we have to be able to accomplish this.

Intellectually, i know it is a good idea and if I was somehow in power I would carry it on. Somebody else might think it is a very bad idea.

Tell me why this is a very bad idea.
 
Joined
Mar 22, 2009
Messages
68
Likes
5
Points
15

Nandoa

Member
Joined Mar 22, 2009
68 5 15
wazo zuri. Kuhusu Marekani kusaidia katika majanga kama hayo kuna kitu kinaitwa "Shock Doctrine" janga likiisha ndio utajua manake nini! kwa Marekani kunapotokea tatizo wanakuja kusaidia kwa haraka sana ila wakishamaliza ndio utawajua wao ni nani. Nasema hivi sio kupinga wanachokifanya huko Haiti ila najua baada ya hapo watafanya nini, kwanza kama utakumbuka tayari walishapandisha bendera yao airport mpaka rais wa Haiti akawaambia kwamba wameenda mbali sana kwa kufanya hivyo.
 
Joined
Mar 22, 2009
Messages
68
Likes
5
Points
15

Nandoa

Member
Joined Mar 22, 2009
68 5 15
ndio wataijenga lakini sio bure. nakuhakikishia shule ambazo zilikuwa public zitajengwa private, mambo kibao ambayo yalikuwa yanamilikiwa na serikali yatajengwa na wawekezaji wamarekani, hiyo ndio "shock doctrine" kwamba pakitokea tatizo wao wanakuja kusaidia kwanza then wanahit!!
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,740
Likes
7,521
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,740 7,521 280
wazo zuri. Kuhusu Marekani kusaidia katika majanga kama hayo kuna kitu kinaitwa "Shock Doctrine" janga likiisha ndio utajua manake nini! kwa Marekani kunapotokea tatizo wanakuja kusaidia kwa haraka sana ila wakishamaliza ndio utawajua wao ni nani. Nasema hivi sio kupinga wanachokifanya huko Haiti ila najua baada ya hapo watafanya nini, kwanza kama utakumbuka tayari walishapandisha bendera yao airport mpaka rais wa Haiti akawaambia kwamba wameenda mbali sana kwa kufanya hivyo.
kama kilichokuwepo hakikuwa bora why not try something different? Kuendelea kufanya kitu kile kile kwa namna ile ile na kutarajia matokeo tofauti kumepewa jina lake...
 

Kubwajinga

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2008
Messages
2,190
Likes
18
Points
135

Kubwajinga

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2008
2,190 18 135
  1. Good idea, but what is the basis for the #50? Why not 5 or 500?
  2. To my knowledge, we have a team of trained natural disaster experts, why not send them together with some other needed personnel, i.e. millitary, police, Docs etc.?
All in all it is a good idea. TZ needs to help HAITI in any humanly possible way.

Tusiwe tunaenda tu kubembea (JK) huko Carribean bila kuwakumbuka wakati wa shida.
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,740
Likes
7,521
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,740 7,521 280
  1. Good idea, but what is the basis for the #50? Why not 5 or 500?
  2. To my knowledge, we have a team of trained natural disaster experts, why not send them together with some other needed personnel, i.e. millitary, police, Docs etc.?
All in all it is a good idea. TZ needs to help HAITI in any humanly possible way.

Tusiwe tunaenda tu kubembea (JK) huko Carribean bila kuwakumbuka wakati wa shida.
nimefikiria hasa katika dhana ya kusaidia na kujifunza.. tukipeleka watu 500 itakuwa ni chaos.. tunataka hawa wataalamu wetu wa natural disaster ndio wawe wa kwanza.. siyo waliojifunza tu katika majanga madogo madogo.. ningependa wakajifunze kwenye janga kubwa kwani siku moja... msishtuke mji wa Mbeya ukawa leveled na tetemeko la ardhi..
 
Joined
Mar 22, 2009
Messages
68
Likes
5
Points
15

Nandoa

Member
Joined Mar 22, 2009
68 5 15
Miji iliyo kwenye hatari kwa Tanzania sio Mbeya tu, miji yote ambako bonde la ufa linapita kuna hatari kubwa ya kutokea janga kwani "plate tectonics" inaendelea na bara linaendelea kumegeka ili kupisha bahari hivyo tutegemee mengi katika mchakato huo asilia.
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,740
Likes
7,521
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,740 7,521 280
Nandoa siyo miji yote iliyo kwenye bonde la ufa yaweza kukabiliwa najanga la namna hiyo. NI lazima uangalie zile seismic faulty lines zimepita wapi.. nadhani kuna faulty line ya aina fulani katika eneo zima la ziwa nyasa na ambalo linaweza kusababisha majanga hadi Mbeya..
 
Joined
Mar 22, 2009
Messages
68
Likes
5
Points
15

Nandoa

Member
Joined Mar 22, 2009
68 5 15
Mzee Mwanakijiji hilo nalijua sana, ni kwamba hizo fault line unazozisema ni kwamba vipo katika bonde zima, zinatofautiana "degree of activeness, kuna ambazo zipo dormant, active" lakini katika geologic time scale hatuwezi kusema zile ambazo zipo dormant zitakuwa hivyo kwa muda gani kwani kitaalam hatuwezi kusema exact lini kutatokea tetemeko na wapi na litakuwa la ukubwa gani, hivyo kama tunaongea na lay man katika ishu kama hii tunasema kwamba kuna risk eneo lote kwa vile hatujui ni lini hizo sehemu zingine zitakuwa active. Kumbuka mwanakijiji kwamba hilo bonde la ufa katika mfumo wake wa kukua kuna fault zinadevelop ndio kusema fault line zipo kila mahali ila zinatofautiana kwamba zipo zilizo active na zingine zimelala so zikiamka ni hatari tupu mkuu!
 

Moelex23

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2006
Messages
497
Likes
5
Points
35

Moelex23

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2006
497 5 35
Mwnakijiji wazo ni zuri sana, sababu what U are proposing is training!!!

The problem comes @ cost and availability of the needed professionals in our country.

How much will this mission cost?? I say well over $1million.

Sasa kweli hatuwezi kuwafundisha hawa watu TZ @ a fraction of the cost huko Kilosa, Mpwapwa while helping our own people???

Nadhani hao wataalamu wakae tu CNN, BBC waangalie, wadownload training materials hapo hapo TZ, then waende practical training Kilosa, Mpwawa nk in the next few weeks, itasaidia zaidi.
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,740
Likes
7,521
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,740 7,521 280
Mwnakijiji wazo ni zuri sana, sababu what U are proposing is training!!!

The problem comes @ cost and availability of the needed professionals in our country.

How much will this mission cost?? I say well over $1million.

Sasa kweli hatuwezi kuwafundisha hawa watu TZ @ a fraction of the cost huko Kilosa, Mpwapwa while helping our own people???

Nadhani hao wataalamu wakae tu CNN, BBC waangalie, wadownload training materials hapo hapo TZ, then waende practical training Kilosa, Mpwawa nk in the next few weeks, itasaidia zaidi.
Moelex.. Kilosa ni janga ambalo tumeshazoea mno na tayari ninaamini tuna experience ya kutosha ya kushindwa kusaidia majanga ya mafuriko. Lakini janga kama la mlipuko wa mabomu au earthquake ni tofauti sana. Ndio maana janga la Haiti halifanani na Katrina..

Ningependa watu wetu wapate mang'amuzi katika mambo kama haya ya earthquake ambayo yanahusisha kubomolewa kwa majengo, watu kubanwa, barabara kubomolewa, miundombinu n.k Uzuri mmoja wa majanga ya mafuriko ni kuwa maji hayachelewi kukauka so masalia yake makubwa ni uchafu, michanga n.k lakini vitu kama earthqauake inatisha sana.

Ni vizuri kupata experience ya majanga tofauti ya yale tuliyoyazoea..
 

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Messages
78,840
Likes
41,697
Points
280
Age
28

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined May 15, 2006
78,840 41,697 280
Wanapata hako kauzoefu halafu wakirudi nyumbani zana na vitendea kazi hakuna. Dar nzima (population wise karibu sawa na Port-Au-Prince) kituo cha zimamoto kimoja.

Hapa nilipo kwenye moja ya viunga vya the A (population 40,000), kwenye vicinity kuna fire stations 4 na ziko manned 24/7.

Wazo ni zuri lakini changamoto zipo nyingi sana kuanzia building codes, miundombinu, hadi vitendea kazi. Sasa sijui mtu unaanzia wapi kujiandaa na kuishia wapi.
 

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,740
Likes
7,521
Points
280

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,740 7,521 280
tunachukulia kama utani siku mtakaposikia shangazi zenu na ma ex wamebanwa na kuta za majumba au kufanya kile kilichofanyika MV. Bukoba msianze kusema "kwani walikuwa hawajui"....
 

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Messages
5,306
Likes
790
Points
280

Kang

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2008
5,306 790 280
Waende wakasaidie kubeba maboksi ya misaada...
Mabomu ya Mbagala yalipotokea response ilikuwa ni vichekesho, sasa sioni wataenda kufanya nini Haiti.

Bora tuchukue hiyo hela itakayotumika kuwasafirisha hao watu 50 tuidonate UNICEF itakuwa much more useful.
 

Forum statistics

Threads 1,190,287
Members 451,082
Posts 27,666,623