Ni wazi kuwa kigezo kikubwa cha nchi ni mipaka yaani mipaka inayoitenganisha hiyo nchi na majirani zake.
Katika mfumo uliopita Zanzibar ilijulikana kwa mipaka yake na Tanzania nayo ilikuwa na mipaka yake ikipakana na Uganda, Kenya,Rwanga Burundi, Msumbiji, Malawi, Congo na Zambia.
Tunataka kwenda kwenye shirikisho kutakuwa na nchi moja tu, Tanzania. Hata hivyo rasilimali na ardhi zitakuwa chini ya Serikali za Tanganyika na Zanzibar. Najiuliza hii nchi ya Tanzania eneo lake ni lipi?