Kwani waliwazuia msiseme?Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?
This is stupidity of all time.!!!
Kweli we ni jingalao kwani kinacho fanyika hakionekani sisi bado kujitegemea misaada tunategemea kwao ila ipo siku tutalia pamoja nyie endeleeni kusupport ujingaTanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?
This is stupidity of all time.!!!
Kwani waliwazuia msiseme?
Hebu wafundishe hao watu wanaolalamika halafu hawajui kwamba hata bajeti inakarimiwa na wafadhili kwa sana.Wao hawajamzuia yeyote kusema, hata kama tungekua na sababu ya kusema kama ipo.
Lakini uchaguzi wetu unawahusu, wanatoa msaada kupitia mashirika au taasisi zake kufadhili uchaguzi, wanatupatia misaada (Inaitwa misaada) kujazilizia bajeti yetu, wanatupa mikopo. Sasa hapo wakisema wanakosea?
Siku zote akopaye ni mtumwa kwa anaemkopesha (Biblia).
Baba na mtoto wanaweza kuwa wanafunzi kwa wakati mmoja.....baba humuuliza mtoto matokeo ya masomo yake sababu ana finance. mtoto hana mamlaka ya kujua carry ao supplementary ya baba.Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?
This is stupidity of all time.!!!
Aiseeee !!!Siku zote mwenye mbwa ndio anaongea.
Usisahau USA ndio wanatulisha, kutupatia hela za misaada na mikopo. Ufadhili wa madawa, na mambo kama hayo.
Tanzania haijawahi kuisaidia USA msaada wowote hata wa unga wa muhogo debe moja.
Hebu wafundishe hao watu wanaolalamika halafu hawajui kwamba hata bajeti inakarimiwa na wafadhili kwa sana.
Matumizi ya serikali katika bajeti ya 2010-11 , 33% ilikuwa misaada ya wafadhili, katikakila shilingi tatu iliyotumia serikali, mojailikuwa ni misaada ya wafadhili.
Hiyo inaitwa "kuuma na kupuliza"Haitapita week Mtaskia Marekani imetoa msaada wa bilion 700.. Hii bhana ni ngumu sana kusurvive
The US tax payers money that we use in health sector and other areas of development through PEPFER, Global Fund etc comes with condition of democracy and governessTanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?
This is stupidity of all time.!!!
Poor Jingalao !Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?
This is stupidity of all time.!!!
Ndio hapo sasa, misumari ya serikali ya awamu ya tano ishawafikia robo sasa..Tanzania has never comment on previous US election despite all rumours that Russia hacking and doctoring the election to makeTrump the POTUS.
Why should the US Embassy talk about Tanzania MPs election?
This is stupidity of all time.!!!