Fisadi.Jones
Senior Member
- Aug 15, 2008
- 110
- 7
Hivi kwa nini kazi yetu ni kupinga tu?? Sijasikia hata siku moja TZ imekuja na hii proposal halafu wenzetu wakakataa ila kila siku nasikia kuwa tumekataa hiki tumekataa that. If we really want to be in it then we have to be in it. Why can't we come up with our own agendas????
Wewe kweli Zero. Kwa hiyo kigezo cha kukubali proposal kiwe ni kwamba wengine wamekubali za kwako? mimi nadhani kila proposal inaangaliwa kwa merit yake. Kama proposal za TZ zingekuwa haziangalii maslahi yao, wangezikataa. Pengine wanazikubali kwa sababu either zinaangalia maslahi yao vizuri au zina compromize ambazo wao wako tayari kuishi nazo; unavyoiweka ni kama vile wanazikubali kwa sababu wanaipenda Tanzania.
Na kukubali kwao proposal za TZ kamwe haina maana TZ ikubali kila proposal kwa sababu tu kwamba zake zimekubaliwa.