Tanzania Project 2035

Tanzania Project 2035

Deni la taifa kukaguliwa na CAG ili kujua namna lilivyotumika, baada ya kuisoma atamkabidhi Rais na Dpp
 
Mikataba yote iwe wazi hasa mapato yanayopatikana, ajira itakazotoa na kama kuna ulazima wa kuwapa foreigner na ijadiliwe bungeni na ni kosa la jinai kiongozi kusign mkataba wa siri- akifanya hivyo akimaliza mda wake atashtakiwa
 
Spika wa bunge atachaguliwa na wananchi na wakati wa uchaguzi atakuwa na makamu wake, na spika akifariki makamu watakaimu na ndani ya siku mia moja utafanyika uchaguzi wa kuchagua spika mwingine, spika na makamu wa spika ni mtu ambaye hana historia ya kuwa mwanachama wa chama cha siasa
 
Back
Top Bottom