Safi sana, watu wamechoka kukanyaga ardhiniNi haki yako kikatiba
Safi sana, watu wamechoka kukanyaga ardhiniNi haki yako kikatiba
Winga ni changamoto."Sitakubali nafasi yeyote serikalini ya kuteuliwa". This statement is like you're in the position of being appointed 🤣🤣🤣. Who knows you Hon President of Middlemen?
Huwezi nielewa sababu unaakili fupi, sihitaji hizo teuziWinga ni changamoto.
Anatufuta teuzi kimkakati, baada ya kusoma kozi ya mchongo
Hakuna anayenijua sahivi ila uko baadae watanijua kwani ni kosa kuwa na malengo"Sitakubali nafasi yeyote serikalini ya kuteuliwa". This statement is like you're in the position of being appointed 🤣🤣🤣. Who knows you Hon President of Middlemen?
Lakini akili yangu nimeituma vizuri kabisa ndio maaa sijawa winga sina illusionsHuwezi nielewa sababu unaakili fupi
Kwani kuwa winga kuna tatizo gani najivunia kuwa winga- mda utaongea kati ya mimi na wewe nani ana illusionLakini akili yangu nimeituma vizuri kabisa ndio maaa sijawa winga sina illusions
Una TIN namba??Kwani kuwa winga kuna tatizo gani najivunia kuwa winga- mda utaongea kati ya mimi na wewe nani ana illusion
Ndio ninaoUna TIN namba??
Makadorio yako ya kodi kwa mwaka ni kiasi gani?Ndio ninao
Nikishakuambia makadirio yangu itakusaidia niniMakadorio yako ya kodi kwa mwaka ni kiasi gani?
Hiwezi kunisadia kwasababu TIN yako ni Non business au huna na ubonga uongo online.Nikishakuambia makadirio yangu itakusaidia nini
Kwani shida yako ni nini hasa au unaumia mimi kuwa wingaHiwezi kunisadia kwasababu TIN yako ni Non business au huna na ubonga uongo online.
Illusion
TANZANIA PROJECT 2035
VISION
MISSION
- Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa Afrika kufikia mwaka 2070 in term of GDP na PPP
- Tanzania kuwa nchi yenye uchumi mkubwa duniani kufikia mwaka 2200 in term of GDP na PPP
Nilitangaza nia ya kuwa Rais wa Tanzania 29/6/2024 kwa kipindi chote hicho nimepata feedback nyingi ila kikubwa kuna mambo mengi sana nimejifunza unajua unatakiwa uanze safari ndo update experience, ukosee ndo ujifunze