Tanzania priest arrested in US over prostitution

Tanzania priest arrested in US over prostitution

Napita hapa🚶🚶🚶🚶🚶🚶
 
Soma na hako mzee.

Through the investigation, it was also learned that Solomon Bandiho, 49, is a Catholic priest at a local parish in Mesa. He has been the administrator at Holy Cross Parish since July and also assisted At St. Helen Parish in Glendale.
Mesa police say Bandiho responded to an ad on the internet. He unknowingly texted an undercover detective and arranged to meet at a Mesa hotel to have sex for $60.
Police say when they approached Bandiho, he became aggressive so they used a stun gun on him.


Read more: Mesa priest arrested in child prostitution sting - CBS 5 - KPHO


Sioni tatizo si alikuwa anampa upako, na hiyo kitu ni ruksa...
 
Kwa yule mwl. Wa madrasa wa Zanzibar (thrade iliyoletwa hapa jana) tuliambiwa suna dini yake inaruhusu!
Je? Na hii nayo suna ? Au ina jina lake mahsusi ?
 
Hapa hakuna jina twaweza kutoa kwani Dini yetu na utaratibu wake haviruhusu hawa watu kukaa uchi mbele, nyuma hata upandeni mwa mwanamke wakiwa uchi. Sasa yeye alikuwa anaenda kuichapam kabisa.
Kwa yule mwl. Wa madrasa wa Zanzibar (thrade iliyoletwa hapa jana) tuliambiwa suna dini yake inaruhusu!
Je? Na hii nayo suna ? Au ina jina lake mahsusi ?
 
The priest wanted to test his sexual organs after lying idle for sometime.
 
Wadau shauri hili sio la kidini bali jinai, kufanya ngono na watoto chini ya umri unaoruhusiwa kisheria.
 
Walioruhusu mapadre wao kuoa sasa wana maaskofu mashoga na wanaona "ni sawa kwa shetani kukaa madhabauni na kufundisha kondoo". Uzinzi/uasherati ni tabia ya mtu, na sio dini wala kabila wala kazi
 
Back
Top Bottom