Tanzania Premier League (TPL) Simba VS Coastal Union....Uhuru Stadium ( Shamba la Bibi)

TFF wamemtengenezea Mikia FC mazingira ya kuchukua ubingwa kitambo na ufungaji bora na korokoro zote ili atambe.
 
Ukisikia matumizi mabovu ya ubongo.. ndo haya!! Mechi ya walume hawa inahusika vipi na malalamiko hayo ?
Sina tatizo na ushindi huo.. naongelea mfumo.. TPL toka ianzishwe Kuna mwaka walikosa mdhamini Mashabiki maandazi utawajuwa..
 
TFF wamemtengenezea Mikia FC mazingira ya kuchukua ubingwa kitambo na ufungaji bora na korokoro zote ili atambe.
Yanga Zahera anasema tageti ilikuwa ashike 6 au 7... sasa kwa malengo haya ulitaka bingwa awe JKT KANEMBWA..??
 
Panic
Serikali fukuza viongozi wote wa TFF. . Ligi gani ya ovyo ovyo. . Haina mdhamini. . Viporo mpaka vya miezi kwenye fridge. . Tukitoka AFCON na furushi la magoli wekeni shinikizo watoke wenyewe au wafanyjwe zengwe uwanja ulijaa mechi na Uganda na nje watu wanatiketi . ni uhujumu uchumi
 
Ligi kuu bara inaendelea leo kwa timu ya Simba na Coastal Union zitakutana katika mzunguko wa pili, ikumbukwe Simba ikishinda leo moja kwa moja wanaenda kuongoza ligi na kupata nafasi nzuri ya kutetea taji lao walilolichukua msimu uliyopita.
LINES UP
SIMBA SC
Manula, Gyan, M. Hussein, Mlipili, Nyoni, Mkude, Chama, Ndemla, Okwi, R, Juma, Kagere.
SUBS.... Munish, Kotei, Mzamiru, Dilunga 'HD', Mo Ibrahim, Salamba, Bocco
......................................................................
HALF TIME: Simba 2-1 Coastal Union
.......................................................................
FULL TIME: Simba 8-1 Coastal Union
goli za Simba zimefungwa na
Okwi goli 3
Kagere goli 3
Hassan Dilung 1
Chota Chama 1
kwa sasa Simba Sc wanaongoza ligi kwa points 81 wakiwa wameshuka dimbani mara 31 huku wakiwa na michezo miwili mkononi.
This is Simba brothers and sisters
Historia kujirudia
 
Back
Top Bottom