FT: NBC PREMIER LEAGUE: Simba SC 3-1 Coastal Union | 09/06/2023

Carasco Putin

JF-Expert Member
Apr 23, 2022
8,675
25,850
IMG_7755.jpg
Ligi ya NBC premier league msimu wa 2022/2023 leo Ijumaa inafikia tamati. Mnyama akiongozwa na NTIBAZONKIZA anayetikisa dunia kwa sasa watashuka dimbani mnamo saa 3:30 mchana dhidi ya mahasimu wao coastal Union kutoka Tanga

Hakika watakuletea mpira wenye kuvutia wenye kiwango cha kimataifa
Saido.jpg

Kikosi cha Simba​
 
Mkuu dah nilikuwa nishasahau acha nikawape Simba mkeka wa over 4.5 goals
 
Washakula likizo kitambo sana.

Chama
Phiri
Kanoute
Husein
Mzamiru
Sakho
Onyango
Inonga
N.k
 
Back
Top Bottom