Tanzania posta bank meru branch arusha ( reception pameoza)

MZEE SERENGETI

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
214
10
Wana JF
Katika benki anbazo wafanyakazi wake wamechoka na wanamajibu ya kukatisha,ni hao wafanyakazi wa Bank ya Posta,sijui wale Wadada pale reception wamechukua kutoka wapi,sijui wana kiwango gani cha Elimu.nike lo sana kuna dada, Bint mmoja mrefu yani yule anaona kama vile ndio amefika,anamajubu mabaya sana,sijui kwa nn hawekwi nafasi nyingine,Nilishuhudia kijana mmoja amenda pale kwa lengo la kufungua A/C,Anamwambia Alete International Paspot,vitu kibao wanawake wana shida pale.
 
1- weka maoni yako kwenye box la maoni kumuhusu huyo dada.
2- mweleze branch manager wake kuhusu tabia zake huyo dada.
 
kwa kuwa benk ya posta huwa wanapitapita humu jamvini,hopeful watalifanyia kazi dukuduku lako!
 
Benki ya Posta waelewe kuwa hawana ukiritimba wa hiyo biashara. Wakiedekeza uzembe itakula kwao.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom