Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 18,072
- 25,176
T
hread hii itumike kuleta vikatuni vyote vya sias za Tanzania vinavyohusu uchaguzi mwaka huu wa 2015. Vikatuni huwa vina ujumbe fulani mzito unaoeleweka kwa kasi sana. Nitaanza ni vikatuni nilivyopata pale mMwananchi kuhusu wagombea wa CCM halafu nitavuta vikatuni vya Mogmbea Lowasa vya zamani sana akiwa waziri mkuu ambavyo nilifanikuwa kuvitunza wakati ule na kuwaachia wana ukumbi walete vikatuni kutoka kokote watakapovipata.
View attachment 267166